Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live

ZATI yasifu SMZ kukuza utalii

Na Salum VuaiJUMUIYA ya Wewekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI), imeeleza kuridhishwa na namna Serikali ya Muungano na ile ya Mapinduzi Zanzibar, zinavyochukua hatua kuhakikisha sekta hiyo...

View Article


Familia waliopewa nyumba na Karume kulipa kodi

Na Mwandishi wetuWaziri Ujenzi, Ardhi, Makazi Maji na Nishati, Mhe. Ramadhan Abdalla Shaaban, amesema watu waliopewa nyumba za maendeleo na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid Amani Karume,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katuni wa Leo na Ujumbe Wake Huooooooo...............

View Article

Majaribio BVR Novemba

Na Fatuma Kitima, Dar es SalaamTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zoezi la majaribio la uimarishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, linatarajia kuanza katikati ya Novemba mwaka huu.Zoezi hilo...

View Article

Kigoda apata wa kujipima ubavu

Na Kija Elias, TangaMkaguzi wa skuli za sekondari manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Mtenguzi Kidyamakuo, ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Handeni mkoani Tanga, katika uchaguzi mkuu...

View Article


Tibaijuka: Maradhi ya mripuko yakabiliwe kimataifa

Na Anita Jonas, MaelezoUmoja wa Mataifa umeshauriwa  kuchukua  hatua za haraka kwa maradhi ya mripuko yanayotokea Afrika kama Ebola kwani yanaathiri uchumi wa mataifa yanayohusika.Ushauri huo ulitolewa...

View Article

China kuimwagia Tanzania mabilioni ya dola

Na Mwandishi wetu,  BeijingTanzania na China, zimetiliana saini mkataba wa maelewano (MoU) ambapo taasisi za China zitawekeza mabilioni ya dola za Marekani katika uchumi wa Tanzania.Shughuli ya utiaji...

View Article

Taasisi ya mifupa MOI yajivunia mafanikio

Na Hassan Silayo, MaelezoTaasisi ya tiba ya mifupa, upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu (MOI) imeendelea kuwa nguzo muhimu nchini katika utoaji wa huduma za tiba na upasuaji.Hayo yalisemwa na Ofisa...

View Article


Zanzibar`s fibre backbone network at risk

Zanzibar’s much awaited e-government fibre optic backbone was left in disarray following sub-standard work by Chinese contractors which resulted in the high-technology cable being cut in numerous...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uboreshaji wa daftari la wapiga kura kuanza Novemba

Makamu Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), pia  na Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid   Mahamoud Hamid(kushoto)  akitoa ufafanuzi baada kusoma taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya mafanikio ya chanjo ya Surua

baadhi ya Waandishi wa Habari , Mchanga Haroub kutoka ZBC Radio na Moh'd Khalfan Ali, Kutoka Habari maelezo Pemba, wakisikiliza kwa makini taarifa ya mafanikio ya Chanjo hizo kutoka kwa maratibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa kuandaa ramani ya mji wa Zanzibar wafanyika

Mkuu wa Mkoa Mjini Mgharibi Maalim Abdalla Mwinyi Khamis ambae alikuwa Mwenyekiti wa mkutano wa Mpango  wa kuandaa ramani ya mji wa Zanzibar akizungumza na washiriki wa mkutano huo.Picha na Makame...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.Shein:Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ieleweni Katiba na Sheria Kusaidia...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakati akipokutana nao Ikulu Zanzibar. Wakuu wa Wilaya wakimsikiliza Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chakula cha Usiku kuchangia Kijiji cha SOS Childrens Village Tanzania.

 Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandiliwa na Kampuni ya Montage, ili kuchangia Watoto wa SOS...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahafali ya 21 ya Chuo cha Taaluma ya Sayansi ya Afya Zanzibar.

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar Dkt. Abdalla Ismail Kanduru akitoa tamko la kuwatunuku stashahada wahitimu wa Chuo hicho katika Mahafali ya 21 yalifanyika Mbweni. Wahitimu wa...

View Article


Akamatwa na mabomu manne ya kivita Z`bar

Na Rahma SuleimaanJeshi la Polisi Zanzibar limemkamata mtu mmoja akiwa na mabomu manne ya kivita ya kurushwa kwa mkono.Moja kati ya mabomu hayo ni lililotumika darajani Juni 13 mwaka huu na kusababisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Shein : Kazi ya ukuu wa mkoa na wilaya si ya kukaa ofisini tu

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE    Zanzibar                                                         26 Oktoba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Shein : Msikubali kugawiwa mchakato wa Katiba

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE    Zanzibar                                                 26 Oktoba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMakamu Mwenyekiti wa Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM waunguruma Kibanda Maiti

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyeekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazetini Leo Tz Bongo.

View Article
Browsing all 35036 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>