Mafunzo ya haki za binadamu na utawala bora yaliyoandaliwa na ZSLC Pemba
MRATIBU wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC, ofisi ya Pemba Fatma Hemed Khamis, akizungumza machache kwenye mafunzo ya siku mbili, ya haki za binadamu na utawala bora, kwa viongozi na...
View ArticleWanaushirika wa Tundauwa wakivuna muhogo
WANAKIKUNDI cha upandaji mboga mboga, mikoko, na uhifadhi wa mazingira wa mazingira cha Tundauwa wilaya ya Chake chake Pemba, wakiwa kwenye shamba lao la muhogo waking’oa tayari kwa ajili kuupeleka...
View ArticleYaliojiri Mkutano wa CCM Kibanda Maiti Zanzibar
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea risala ya Vijana wa UVCCM baada ya kusomwa wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM...
View ArticleHoja Binafsi: Uimarishaji wa huduma za afya zinazotolewa kwa wananchi wa...
HOJA YA MJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR KULIOMBA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOA MAAZIMIO KUHUSU UIMARISHAJI WA HUDUMA ZA AFYA ZINAZOTOLEWA KWA WANANCHI WA ZANZIBAR. (Chini ya kanuni ya 27(1)...
View ArticleUfaransa kuitangaza Zanzibar katika sekta ya utalii
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 27.8.2014UFARANSA...
View ArticleDk Shein: Zanzibar inajivunia ushirikiano wake na UN pamoja na mashirika yake
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 27 Oktoba, 2014TAARIFA KWA...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt.Bilal Afungua hafla ya kuchangia Miradi ya Maendeleo Jimbo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua ghafla ya kuchangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana jioni Octoba 26-2014 katika...
View ArticleRais Kikwete awasili Vietnam kwa ziara rasmin ya siku mbili.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku...
View ArticleDk Shein akutana na Mratibu Mkaazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...
View ArticleJumuiya ya Afrika Mashariki yaandaa mafunzo kwa Bodi ya chakula, madawa na...
Mrajisi wa Bodi ya Chakula,Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othaman Simai akizindua Mafunzo ya siku tano ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi ambayo yanalenga...
View ArticleBalozi Seif Azungumza na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Rwanda Ofisini...
Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Rwanda Balozi Said Ali Siwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Barala la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa...
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Kipanga na Hard Rock Amaan.
Mchezaji wa timu ya Hardrock katikati akijiandaa kupiga mpira katikati ya mabeki wa timu ya Kipanga Mshambuliaji wa timu ya Hardrock Steven Thobias, akiwapita mabeki wa timu ya Kipanga katika mchezo wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AONDOKA VIETNAM BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto),Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na...
View ArticleDk Shein: Kufanikiwa kwa udhibiti na ukaguzi wa fedha ni silaha ya maendeleo
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 28.10.2014RAIS wa...
View ArticleMsikiti unaoendelea kujengwas Kambini kichokochwe
WAISLAMU wa kijiji cha Kambini kichokochwe wilaya ya Wete Pemba, wakiwa kwenye usafi wa msikiti wao mpya, mara baada ya kumaliza sala ya Ijumaa wikia iliopita, ambapo wanaomba misaada ya hali na mali,...
View ArticleWanafunzi kusini Pemba watembelea Manta Resort
MENEJA wa hoteli ya ‘Manta resort’ ya Makangale wilaya ya Micheweni Pemba, Mathewa Saus, akiwafahamisha wanafunzi na waalimu wa skuli za sekondari za mkoa wa kusini Pemba, namna ya ujenzi wa chumba cha...
View ArticleVipajii vya Kojani
VIPAJI vya aina hii vya watoto, kuelekea kwenye upigaji wa ala na gita za muziki, vinafaa kuungwa mkono na serikali kupitia wizara yake inayoshughilikia utamaduni, ambapo watoto wa kisiwa cha Kojani,...
View Article