Kaya zilizolengwa zinafadika na misaada ya Tasaf
MENEJA wa programu ya jamii kutoka TASAF, Amadeus Kamagege akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa mkitano wa chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba, akitoa ufafanuzi wa namna kaya...
View ArticleZBS watakiwa kuainisha vipaumbele
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 28 Oktoba, 2014TAARIFA KWA VYOMBOVYA HABARIRais wa Zanzibar na Mwenyekiti...
View ArticleMnada wa samaki soko la Mbuyuni, Mkoani Pemba
DALALI wa soko la Samaki Mbuyuni wilaya ya Mkoani Haji Maalim, akinadi shazi la samaki kwa wajuuzi ambao hapo pichani, huku ujumbe wa Serikali za Mitaa na Tawala za mikoa kutoka Mkoani Tanga...
View ArticleWajumbe wa Serikali za mitaa na tawala za mikoa kutoka Tanga ziarani Pemba
KATIBU wa kikundi cha Bobo Sio Dili cha Bogoa Mkanyageni Wilaya Mkoani, kinachojishughulisha na uoteshaji wa miche ya mikarafuu, Adam Kombo, akiwafahamisha wajumbe wa Serikali za Mitaa na Tawala za...
View ArticleTaasisi ya Viwango Zanzibar wakutana na Dk.Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea ripoti ya Taasisi ya Bodi ya Viwango Zanzibar (ZBS) kutoka kwa Porf Mshimba jana wakati Uongozi wa Bodi hiyo...
View ArticleNchi 188 zapiga kura ya ndio kutaka Cuba iondolewe vikwazo
Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi, akizungumza muda mfupi kabla wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hawajapigia kura ya kutaka vikwazo vya...
View ArticleNyumba aliyokuwa akikaa Sahaba 'Urwah bin Zubeir bin Awwaam
Hii ndiyo nyumba aliyokuwa akikaa Sahaba 'Urwah Bin Zubeir, Allaah Amuwie radhi.Nyumba hii ipo njiani kutokea Madina (Saudi Arabia) kuelekea Dhul Khulayfah (au Abyaar Ali kama kunavyojulikana) kiasi...
View ArticleFrozen chicken distribution boom for Isles youth
Rising demand for frozen chicken and associated lucrative returns are luring many youth in Zanzibar to venture into distribution of frozen poultry, one of the isle's leading businesses. "The sale of...
View ArticleUamuzi wa Ukawa usizushe vurugu
Na Salim Said Salim UAMUZI wa Vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wa kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu mwakani umeelezwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya...
View ArticleZIRPP Monthly Lecture : "The Adverse Effects of the Proposed Constitution on...
Speaker: Mr. Muhammad Yussuf. Subject:"The Adverse Effects of the Proposed Constitution on the Rights and Status of Zanzibar"Date & Time:Saturday 01 November 2014; at 4:00 pm.Venue: ZIRPP...
View ArticleBalozi wa Palestina, EU na wa Rwanda Watembelea Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea kutoka kwa Balozi wa Palestina nchini Dkt. Nasri Abu Jaish ambaye amemtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Waziri wa Katiba...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal Afungua Kongamano la Tano la Kimataifa Kujadili...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi...
View ArticleWaandishi wa Zanzibar leo watembelea kikundi cha ushirika wa uvuvi Mbuyuni,...
Waandishi wa habari wa gazeti la Zanzibar leo -Pemba, wakizungumza na mwenyekiti wa kikundi cha ushirika wa uvuvi cha Mbuyuni Mkoani Pemba, ambao walipatiwa msada wa vifaa na fedha Taslim na Tasaf...
View ArticleKutoka Baraza la Wawakilishi Zenj kuchangia Miswaada Iliowakilishwa
Mwakilishi wa jimbo la Mkwajuni Mhe Mbarouk Mtando akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa jimbo la Amaan, Mhe Fatma Mbarouk Said, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa kikao cha asubuhi kikiendelea....
View ArticleTaarifa kwa Waandishi wa Habari
YAH: KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS NA WADAU WA HABARI Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa akutane na wadau wa habari tarehe 01/11/2014 kwenye makazi yake...
View ArticleDk Shein amtumia salamu za rambirambi kwa kaimu Rais wa Zambia
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 30 Oktoba, 2014TAARIFA KWA VYOMBOVYA HABARI Rais wa Zanzibar na...
View ArticleNyimbo mpya ya Msanii chipukizi Mkoani Mbeya, SJ IITWAYO KUMBE MAPENZI
Tone Multimedia Group Kupitia Mtandao wetu wa Mbeya yetu Blog tumeadhimia kuanza kuwasaidia wasanii Chipukizi kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa mingine ya Jirani kimuziki kwa Kutambulisha kazi zao...
View ArticleDk Shein Atembelea Kituo cha Damu Salama Amaan.
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 30.10.2014RAIS wa...
View Article