$ 0 0 DALALI wa soko la Samaki Mbuyuni wilaya ya Mkoani Haji Maalim, akinadi shazi la samaki kwa wajuuzi ambao hapo pichani, huku ujumbe wa Serikali za Mitaa na Tawala za mikoa kutoka Mkoani Tanga ukishuhudia mnada huo.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA