MENEJA wa programu ya jamii kutoka TASAF, Amadeus Kamagege akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa mkitano wa chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba, akitoa ufafanuzi wa namna kaya lengwa zinavyofaidika na fedha zinazotolewa na TASAF nchini kote (picha na Haji Nassor, Pemba)