VIPAJI vya aina hii vya watoto, kuelekea kwenye upigaji wa ala na gita za muziki, vinafaa kuungwa mkono na serikali kupitia wizara yake inayoshughilikia utamaduni, ambapo watoto wa kisiwa cha Kojani, wamekua mstari wa mbele, kuacha kazi za uvuvi baadhi yao na kujaribu suala la upigaji wa alaa na muziki kwa kutumia vifaa vya matumizi ya ndani (picha na Haji Nassor, Pemba)
↧