Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Jumuiya ya Afrika Mashariki yaandaa mafunzo kwa Bodi ya chakula, madawa na vipodozi

$
0
0
 Mrajisi wa Bodi ya Chakula,Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othaman Simai akizindua Mafunzo ya siku tano ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi ambayo yanalenga kuanzisha Chombo maalum cha pamoja cha Usajili wa Dawa katika nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.
 Mratibu wa Mafunzo ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Patrick Mwesigye kutoka nchini Rwanda akitoa nasaha zake kwa Watendaji hao katika Uzinduzi wa Mafunzo hayo huko Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View.
 Mkuu wa Kitengo cha Dawa na Vipodozi Zanzibar Bora Lichanda akifafanua Jinsi Kitengo chao kinavyofanya kazi kwenye Mafunzo ya siku tano ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi ambayo yanalenga kuanzisha Chombo maalum cha pamoja cha Usajili wa Dawa katika nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.
 Mkuu wa Bodi ya Madawa na sumu Nchini Kenya Dkt. Ronald M. Inyangala akichangia kitu katika mafunzo hayo.
 Mratibu wa Mafunzo ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi kutoka Zanzibar Hidaya Juma Hamad akizungumza na Wanahabari nje ya Ukumbi wa Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View ambapo mafunzo hayo ya siku tano yanafanyika.
Mgeni rasmi Mrajisi wa Bodi ya Chakula,Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othaman Simai (kati kati) waliokaa akiwa katika Picha ya pamoja ya Washiriki wa Mafunzo ya siku tano ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi ambayo yanalenga kuanzisha Chombo maalum cha pamoja cha Usajili wa Dawa katika nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.
`
(Picha na Makame Mshenga- Maelezo-Zanzibar).



Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>