$ 0 0 WANAKIKUNDI cha upandaji mboga mboga, mikoko, na uhifadhi wa mazingira wa mazingira cha Tundauwa wilaya ya Chake chake Pemba, wakiwa kwenye shamba lao la muhogo waking’oa tayari kwa ajili kuupeleka sokoni (picha na Haji Nassor, Pemba)