MRATIBU wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC, ofisi ya Pemba Fatma Hemed Khamis, akizungumza machache kwenye mafunzo ya siku mbili, ya haki za binadamu na utawala bora, kwa viongozi na wanachama wa vyama vya wafanyakazi Pemba, kulia ni mtoa mada kutoka Kamishenia ya kazi na kushoto ni Mwenyekiti mstaafu wa ZATUC, Zahara Suleiman Nassor, mafunzo hayo yalifanyika ofisi ya ZLSC mjini Chake chake Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba
WASHIRIKI wa mafunzo ya siku mbili ya haki za binadamu na utawala bora, ambao baadhi yao ni viongozi na wanachama wa vyama vya wafanyakazi Pemba, wakimsikiliza mgeni rasmi hayupo pichani, Mwenyekiti mstaafu wa ZATUC Zaharan Suleiman Nassor, akifungua mafunzo hayo, yalioandaliwa na kituo cha huduma za sheria ZLSC Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
KATIKA mtoa mada Safia Saleh Sultan, akiwasilisha mada juu ya sheria ya mahusiano kazini namba 1 ya mwaka 2005, kwa viongozi na wanachama wa vyama vya wafanyakazi Pemba, mafunzo hayo yameandaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar afisi ya Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)