Kaimu Mwenyekiti wa TAHALISO Ndg. Abdi Mahmoud Abdi, akizungumza na waandishi wa habari kulaani vitendo vya Baadhi ya Viongozi wa TAHLISO kutumia vyeo vyao katika majukwaa ya kisiasa kwa kutumiwa na Viongozi wa siasa kwa shirikisho hilo wanakwenda kinyume na Katiba ya Tahliso.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa mdogo wa bwawani hoteli. .
Katibu Mkuu wa TAHLISO Ndg Rajab Ali Rajab, akizungumza katika mkutano huo na waandishi wa habari kuhusiana na baadhi ya Viongozi swa TAHLISO wanajishughulisha nac kutumiwa na Wanasiasa kwa kupitia TAHLISO kuwatumia Vijana wa Vyuo Vikuu walioko katika Uongozi wa Shirikisho hilo.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo na Uongozi wa Kitaifa wa TAHLISO kulaani vitendo vya baasdhi ya Viongozi wa TAHLISO kutumia shirikisho hilo katika majukwaa ya kisiasa
Viongozi wa TAHLISO wakiwa katika ukumbi wa mkutano na waandishi wa habari ZanzibarWaandishi wakifuatilia mkutano huo kwa kuchukuwa point katika mkutano huo na viongozi wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania uliofanyika katika ukumbi mdogo wa hoteli ya bwawani.