$ 0 0 Afisa wa Afya Kituo cha Bandarini wakifanyiwa uchunguzi kama wana maambukizi ya Ugonjwa wa EBOLA wanapowasili katika bandari ya Zanzibar wakitokea Dar kama anavyoonekana picha akiwa na chombo maalumu cha kuchunguza maradhi hayo