Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mh. Thuwaiba E. Kisasi (katikati waliokaa)akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Taasisi ya Viwango Tanzania (TBS) na Taasisi ya Viwango ya Zanzibar (ZBS) uliofanyika katika Afisi ya Taasisi ya Viwango Amani Zanzibar, tarehe 11 Feb, 2014.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Viwango Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Viwango Afrika Mashariki katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort