Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

RAIS KIKWETE AFUNGUWA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC .

$
0
0
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na meza kuu wakiwa wamesimama kutoa heshima kwa msiba wa Rais wa Zambia Marehemu Sata kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa
Sehemu ya wadau wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Angel Magati, mwanafunzi wa IFM mwenye umri wa miaka 21, kwa kuimba kwa ustadi sana  wimbo maalum wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa.
 Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi na maafisa waandamizi wa TAKUKURU ambao wenyeji wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum
Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimzawdia pipi mtoto  Claire Haule (2) ambaye alikuwa akitoa burudani ya ngoma za utamaduni na kundi la Hangano la kitongoji cha Pasiansi jijini Mwanza kabla ya kufungua
rasmi Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa.(Picha na Ikulu )

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>