Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifungua rasmi Hospitali ya Jamii iliyojengwa katika Kiwanda cha Sukari Mahonda.
Mwenyekiti wa Diaspora ambae pia ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Jamii Mahonda Dr. Amesh Metha akimpatia maelezo ya utendaji wa Hospitali Hiyo Balozi Seif mara baada ya kuizindua rasmi.
Baadhi ya Wananchi,Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Mhonda na watendaji wa Hospitali ya Jamii wakifuatilia maelezo mbali mbali yaliyokuwa yakitolewa kwenye hafla ya Uzinduzi wa Hospitali hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa pamoja na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda akitembelea baadhi ya sehemu za kiwanda hicho.
Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa, Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dr. Amesh Metha na Mratibu wa Diaspora Zanzibar Hassan Hafidh.
Kushoto ya Balozi Seif ni Afisa Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja Dr. makame Shauri, Mkurugenzi wa Kiwanda cha Sukari Viky Patel na Meneja Miradi wa Kiwanda cha Sukari Tushar Metha.
Baadhi ya Wananchi,Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Mhonda na watendaji wa Hospitali ya Jamii wakifuatilia maelezo mbali mbali yaliyokuwa yakitolewa kwenye hafla ya Uzinduzi wa Hospitali hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa pamoja na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda akitembelea baadhi ya sehemu za kiwanda hicho.
Kulia yake ni Menaja Mradi wa Kiwanda Bwana Tushar Metha na kushoto yake ni Meneja wa Kiwanda Viky Patel.
Tushar Metha Meneja Miradi aliyevaa koti akimpatia maelezo Balozi Seif harakati zinazochukuliwa na kurekebisha baadhi ya mitambo ya kiwanda wakisubiri uzalishaji baada ya kupea kwa miwa mashambani.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.