KAIMU Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba, Khadija Khamis Rajab, akizunguzma na wanakaya Masikini za Junguni na Ukunjwi, Jimbo la Gando wilaya ya Wete kabla ya kumkaribisha Mkuu wa hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Wete Mhe:Amran Massoud Amran, akizungumza na wananchi wa jimbo la Gando Wilaya ya hiyo, ikiwa ni mara ya kwanza tokea kuteuliwa kwake na Rais wa Zanzibar Dk Shein, kushika wadhifa wa Wilaya hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza na wanakaya Masikini za Junguni na Ukunjwi jimbo la Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba huko Gando katika ziara yake kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza na walimu wa skuli ya Kizimbani Msingi Wilaya ya Wete, iliyofadhiliwa na TASAF awamu ya Pili, katika ziara yake kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)