Meneja Wa Chama Cha Ushirika wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw.Damai J Mapunda Akitoa Muongozo Jinsi gani Mkutano Utakavyo Endeshwa
Mwenyekiti Wa Chama Cha Ushirika cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Erasmo A.Mbilinyi Akiwasilisha taarifa aliyo iandaa kwa kipindi Cha November 2013 Hadi September 2014 Katika Mkutano Huo
Makamu Mwenyekiti Mpya Bi.Mabel Masas Ambapo Chama Cha TCRA SACOSS kiliweza kufanya Uchaguzi Katika Kuendeleza Kuimarisha Chama Na Kisheria Za Chama
Bw.Damian.F.Mashauri Mkaaguzi wa COASCO Ambaye aliwakilisha kwaniaba ya wakaguzi wengine Wanaofanya kazi za Ukaguzi katika Vyama Vya Usharika Hapo akitoa Taarifa ya Ukaguzi katika Mkutano waTCRA SACOS
Dk. Raymond Mfungahema ambaye aliwakilisha ripoti ya upande wa wajumbe wakamati ya usimamizi waSACOSS ya TCRA
Washarika wakiendelea kufuatilia kwa umakini Mkutano huo
Miongoni Mwa Wanachama Cha Ushirika cha TCRA walio weza kuhudhuriaMkutano wa Pili
Mjumbe wa Bodi Charles Thomas akichangia katika mkutano huo wa SACCOS
Bw.Abduh Husein Akitoa mchango wake wa mawazo katika Mkutano huo
Wanachama wakiwa katika mkutano
Bw.Francis MAYILA. akiwa ni Mwana Kamati Ya Usimamizi akichangia Maada Iliyokuwa ikiendelea Katika Mkutano huo
Masai John Masai Akiomba Kura Ya kuchaguliwa Katika Nafasi ya Kuwa Mjumbe Wa Bodi na Hatimaye kuweza Kunyakuwa Nafasi hiyo Baada ya Wanachama Kumpigia Kura
Afisa Ushirika Kinondoni Philipo Emannuel Akitoa nasaha katika mkutano huo uliofanyika Katika Ukumbi wa TCRA
Omary Mkamba Afisa Usharika Ambaye Ndiye Aliyekuwa Akiendesha Maada zote zilizo kuwa Zikiendelea Katika Mkutano Huo