Mhe.Saleh Mubarak, kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar akimuwakilisha Mwanasheria Mkuu akifungua Semina ya Mafunzo ya kupambana na Fedha Haramu, ilioandaliwa na Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu Tanzania, iliowashirikisha Maofisa wa Polisi Zanzibar na Wanasheria wa Ofisi ya DPP Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar. Akiwahutubia maofisa hao na kutowa nasaha zake katika utendaji wa kazi hiyo ya kusafisha Fedhe haramu.
Maofisa wa Polisi na wa DPP wakimsikiliza Mgeni rasmin akifungua Semina hiyo na kutowa nasaha zake kwa Washiriki wa semina hiyo iliofanyika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Baadhi ya Washiriki wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakifuatiliaKaimu Kamishna wa (Financial Intelligence Unit) Ndg. Onesmo Hamis Mkombe, akitowa mada kuhusimana mzunguko wa Fedha Haramu katika Nchi, wakati wa Semina kwa Mapfisa wa Polisi na wa DPP Zanzibar, ilioandaliwa na Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu Tanzania. wakati wa semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Maofisa wakimsikiliza mtoa Mada katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi Zanzibar.
Mtoa mada Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu, Ndg. Onesmo akisisitiza jambo wakati akiendelea kutoa mada yake kwa Maofisa wa Polisi Zanzibar kudhibiti kueneo kwa fedha haramu Nchini Tanzania
Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu Tanzania Ndg Onesmo Hamis akisisitiza jambo wakati akiendelea na mafunzo hayo katika ukumbi wa hoteli ya grand palace malindi Zanzibar.
Mshiriki wa Semina hiyo akichangia Mada iliowasilisha katika mkutano huo kwa Maofisa wa Polisi Zanzibar.
Mwanashria kutoka Ofisi ya DPP akichangia katika semina hiyo ya kupambana na kueneo kwa Fedha Haramu