Mkuu wa wilaya ya Mkoani aendelea na ziara ya kujitambulisha
MKUU wa wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman Abdalla akizungumza na kamati za maendeleo za Jimbo la mkoani, kwenye mkutano maalumu wa kujitambulisha kwake tokea alipoteuliwa hivi karibuni, kulia ni Afisa...
View ArticleMchezo wa karata : umefika wakati kuwekewa kanuni zake
MCHEZO wa karata ambao umekuwa ukichezwa kama sehemu ya starehe, wakati umefika kwa Zanzibar kuweka kanuni na kuwekea kombe maalumu ili wachezaji waone faida yake, kama hawa wa maskani ya wazee wa CCM...
View ArticleDk.Shein Afungua Semina ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Hawa Abdulrahman Ghasia alipowasili katika viwanja...
View ArticleMaji yaanza kupatikana Chakechake baada ya Mashine kutengenezwa
Mashine ya kusukumia maji ambayo moja ya kifaa chake kiliungua na kusababisha uhaba wa maji Chakechake ikiwa katika matengenezoWananchi katika maeneo ya Wawi Pemba, wakianza kupata huduma ya Maji safi...
View ArticleMkurugenzi wa TCRA Azungumza na Mablogger Dar
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Mkoma akifungua Mkutano na Mablogger wa Tanzania kuzungumzia kukava habari za Uchaguzi na matukio mengine bila ya upendeleo, mkutano huo...
View ArticleUjenzi wa Barabara ya ndani Unguja Ukuu hadi Jendele
Barabara ya ndani ya Unguja Ukuu kupitia katika mabonde ya mpunga cheju hagi jendele ikiwa katika hatua zake za mwazo kuwekwa kifusi kama inavyoonekana picha barabara hii tayari imeshawekwa kifusi cha...
View ArticleRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete Aanza Kazi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo wakati akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore Maryland nchini Marekani leo(picha na Freddy Maro)
View ArticleImarisheni mapato ya ndani kwa maendeleo yenu - Mtaalam
Na Mwandishi Maalum, New York Nchi zinazoendelea hususani Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara zimeshauriwa kujiwekea mipango, sera, taratibu na sheria zinazotekelezeka ambazo kwayo zitaongeza...
View ArticlePRESS CONFERENCE
Dear All,The Mwalimu Nyerere Foundation will hold a Press conference on Thursday 13th November, 2014 at the Maelezo Premises at 12.00 noon. You are invited to attend. Aim is to explain and clarify...
View ArticleKitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu chawapiga Msasa Maofisa wa Polisi na wa...
Mhe.Saleh Mubarak, kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar akimuwakilisha Mwanasheria Mkuu akifungua Semina ya Mafunzo ya kupambana na Fedha Haramu, ilioandaliwa na Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu...
View ArticleZanzibar ijihadhari na mafatani
Na Salim Said SalimWAZIRI Kiongozi mstaafu wa Awamu ya Sita ya Serikali ya Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, amesema ipo haja ya kuendelea kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Visiwani, kwa vile...
View ArticleSerikali ya Umoja wa Kitaifa yairejesha Zanzibar katika ustaarabu
Na Abdullah VuaiUjio wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na mageuzi ya hali ya siasa ni moja kati ya mambo ambayo leo yameifanya Zanzibar na watu wake kuwapo katika ramani ya mwelekeo wa kilele cha...
View ArticleUnaweza kuwasiliana na Rais Kikwete kumjuulia hali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalum kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na...
View ArticleRais Kikwete atoka Hospitalini baada ya kupata nafuu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia...
View ArticleBalozi Seif Aaza ziara yake China
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif na ujumbe wake wakifuatana na mwenyeji wao Mkuu wa Kijiji cha Uwekezaji wa Mji wa Chengmai Bwana Yang Si Tao wakielekea ukumbi wa mkutano kwa...
View Article