Ligi Kuu ya Zanzibar Zimamoto na JKU Amaan Zenj.
Wapenzi wa mchezo wa Soko Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt uwanjani hapo.Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto akipita mabeki wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu...
View ArticleBalozi Seif Azungumza na Vijana Pemba
Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na Vijana 30 wa Maskani ya Dk,Jakaya Kikwete ya Cheke a Mtambwe ,ambao wamekihama chao cha CUF,na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.Makamo wa pili wa Rais wa...
View ArticleDk Shein awasili Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimina na Viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba...
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Kipanga na Mtende Rangers Amaan
Mchezaji wa timu ya Mtende Mussa Said akiipatia bao la kwanza timu ya huku kipa wa timu ya Kipanga Abdalla Ramadhani akigaragara buila ya mafanikio na mpira kuingia kimyani kuandia bao la kwanza katika...
View ArticleZacadia (Canada) appoints new Manager
Mr Yussuf M. Hassan, the new Manager of Zacadia.October 8, 2014.The Board of Trustees (BoT) of ZACADIA (Zanzibar-Canadian Diaspora Association) is pleased to announce that Mr Yussuf M. Hassan (above)...
View ArticleMkutano wa Hadhara wa CCM Pemba Gombani ya Kale
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na Wana CCM alipowasili katika Mkutano wa hadhara...
View ArticleChangamoto za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Na Kauthar AbdallaWIZARA ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Tanzania imeandaa mkakati wa utekelezaji itifaki ya soko la pamoja ili kurahisisha na kuondoa changamoto zinazolikabili soko la pamoja la...
View ArticleMiradi ya dola 236m yasajiliwa ZIPA
Na Mwanajuma MmangaJumla ya miradi 19 yenye thamani ya dola za Marekani 236 milioni imewekezwa kuanzia Januari hadi Oktoba 2014.Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uimarishaji Vitega Uchumi Zanzibar...
View ArticleKamati ya Usalama W/Magharibi Kuwashughulikia Wavunja Sheria
Na Halima JumbeKamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya magharibi Unguja,imesema haitasita kumchukulia hatua mwananchi yeyote atakaebainika kuvunja sheria kwa ajili ya maslahi yake binafsi.Mwenyekiti...
View ArticleNorway yahimiza umoja
Na Khamis Haji, OMKRNorway imeihimiza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuendelea kudumisha umoja, mshikamano na maelewano yaliyopo, ambayo ni matunda ya maridhiano ya kisiasa yaliyozaa Serikali ya Umoja...
View ArticleUjenzi ‘masjid Qaboos’ kukamilika 2016
Na Hafsa GoloMsikiti mkubwa unaojengwa na Mfalme Qaboos wa Oman ambao una uwezo wa kusaliwa na waumini zaidi ya 1,000 kwa wakati mmoja, umefikia hatua nzuri ya ujenzi wake na na unatarajiwa kukamilika...
View ArticleDkt.Bilal Afungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), uliofanyika katika Ukumbi wa...
View ArticleMaalim Seif Atembelea Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Na Khamis Haji OMKRMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema amesikitishwa na hali ngumu inayowakabili wananchi wa kijiji cha Kiomba Mvua katika jimbo la Kitope...
View ArticleRais Kikwete anaendelea vyema na matibabu Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchiniMarekani,...
View ArticleDk Shein awaambia Wakuu wa Mikoa kufahamu mipaka na majukumu kati ya uongozi...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 10 Novemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBOVYA HABARIRais wa Zanzibar na...
View ArticleTaarab Rasmi kuadhimisha miaka minne ya Uongozi wa Dk Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi wengine katika Tamasha maalum la taarab ya...
View Article