Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi wengine katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana.[Picha na Ikulu.] Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .[Picha na Ikulu.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kutoka kushoto) Mama Pili Balozi na Mama Asha Suleiman Iddi wake wa Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .[Picha na Ikulu.] Mwimbaji wa kikundi cha Zanzibar One Rukia Moriss alipoburidisha kwa wimbo “Achekwe hana stara”wakati wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]
kikundi cha Taifa cha Muziki wa Taarab cha Culture musical Club kilipotumbuiza wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiteta jambo wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .[Picha na Ikulu.]
Waimbaji wa Kikundi cha Zanzibar Modern Taarab Khadija Khamis na Marium Juma wakiimba wimbo wa Pika Dk.Shein BigUp wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]
Mwimbaji wa kikundi cha Zanzibar Moden Taarab Zuhura Shaaban alipoburidisha kwa wimbo “Binadamu hawana wema wala hawana shukurani”wakati wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakifuatana pamoja baada ya kumalizika kwa hafla ya Sherehe ya kumpongeza Rais kwa kutimiza miaka minne ya Uongozi wake na Ushindi wa CCM katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein walipokuwa wakiagana Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ali Iddi baada ya kumaliza sherehe za Taarab rasmi ya Ushindi wa CCM na miaka minne ya Uongozi waDk.Shein katika Serikali ya Muundi wenye umoja wa Kitaifa katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiagana na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi baada ya kumaliza sherehe za Taarab rasmi ya Ushindi wa CCM na miaka mine ya Uongozi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]