Makamu wa Rais Balozi Seif Aza ziara kutembelea Sekta ya Uchumi China
Na Othman Khamis OMPR China.Uongozi wa Kisiwa cha Jimbo la Hainan Nchini Jamuhuri ya Watu wa China iko tayari wataalamu na awekezaji wake kufungua milango ya uwekezaji katika Visiwa vya Zanzibar katika...
View ArticleWaziri Kheri Afunga Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Zanzibar
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 13 Novemba,2014TAARIFA KWA...
View ArticleLigi Kuu Chuoni na Malindi Amaan Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya Chuoni Goerg Thomas akimpita beki wa timu ya Malindi Yahya Saleh wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt iliofanyika uwanja wa amaan, timu hizo zimetoka sare ya bao 2--2....
View ArticleHutuba ya Ufunguzi wa Warsha ya Udhiditi Fedha Haramu Tanzania.
HOTUBA YA UFUNGUZI WA WARSHA JUU YA UDHIBITI WA UTAKASISHAJI WA FEDHA HARAMU KWA MAAFISA UPELELEZI KUTOKA JESHI LA POLISI NA WAENDESHA MASHTAKA KUTOKA AFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA ZANZIBAR TAREHE 12...
View ArticleKINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 16 MIKOA YA LINDI NA MTWARA, KESHO NOV 15.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahaman Kinana kesho November 15, 2014 anatarajia kuanza Ziara katika Mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara). Ziara hiyo ya Katibu Mkuu inategemea kuanza kesho...
View ArticleJengo la Wafanyabiashara la Machinga Complex Ilala Karume laungua Moto Mchana...
Jengo la Wafanyabiashara la Machinga Complex likiwaka moto katika mtaa wa Ilala jirani na uwanja wa karume.kama linavyoonekana pichani likiwaka moto mchana wa leo.
View ArticleWajasiriamali Kisiwani Pemba Wapata Mafunzo ya Usindikaji wa Matunda.
Wajasiriamali mbalimbali kisiwani pemba wakipata mafunzo ya usindikaji wa matunda kutoka kwa Mtaalam akitowa mafunzo hayo kwa wajasiriamali hao katika ukumbi wa Chuvu Wawi Pemba.Wajasiriamali mbali...
View ArticleMaalim Seif Atembelea Kiomba Mvua
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo kutoka kwa Afisa Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja, Dk. Makame Ali Ussi kuhusiana na mgogoro ulioibuka kati ya wananchi...
View ArticleUkimwaya wa CECAFA juu ya hatma ya Mashindano ya Challenj Zanzibar Heroes...
Kikosi cha timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes kikiwa katika mazoezi yake katika uwanja wa Amaan chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Hemedi Moroco, wakiendelea na mazoezi hayo kama wanavyoonekana picha...
View ArticleBalozi Seif Akizungumza na Ujumbe wa Makampuni ya Uwekezaji China. Wakati wa...
Makamu wa Rais wa Kiwanda cha Dawa za Binaadamu cha Shuangcheng Bwana Jianlin Yuan akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif na Ujumbe wake wakati walipotembelea kiwanda hicho...
View ArticleWHO kuimarisha huduma za afya
Na Fatma KassimWaziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Rashid Seif Suleiman, amesema Zanzibar inafaidika na misaada mbalimbali inayotolewa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika kupambana na vifo vya...
View ArticleMadeni watumishi wa umma kumalizwa Disemba
Na Fatina Mathias, DodomaSerekali imesema itamaliza kulipa madeni ya watumishi wa umma kiasi cha shilingi bilioni nane mwezi Novemba na Disemba mwaka huu.Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Nchi,...
View ArticleMakamba:Kampuni za simu zinawaibia wateja
Na Fatina Mathias, DodomaNaibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba, amekiri kuwepo tatizo la wizi wa fedha za Watanzania unaofanywa na kampuni za simu za mikononi, ambazo...
View ArticleUshirikina wakithiri makaburi Mwanakwerekwe
Na Hafsa GoloWachimba makaburi Mwanakwerekwe, wameiomba serikali na waumini wa dini kulipatia hifadhi eneo hilo ili kudhibiti vitendo vya kishirikina vinavyoendelea kufanya katika eneo hkithiri...
View ArticleUvinje wapinga ujenzi wa hoteli
Na Zuhura Juma, PembaWakazi wa kisiwa cha Uvinje wilaya ya Wete mkoa wa kaskazini Pemba, wamemuomba Mwakilishi wa jimbo la Gando, Mhe. Said Ali Mbarouk, kuzuia ujenzi wa hoteli katika kisiwa hicho,...
View ArticleMkutano wa Hadhara wa CCM viwanja vya Komba Wapya Kijangwani
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Shamsi Vuai Nahodha akiwahutubia WanaCCM katika viwanja vya komba wapya kijangwani Unguja kutowa elimu kwa Wananchi kuhusiana na Katiba iliopendekezwa na Bunge Maalum...
View Article