Mkufunzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafamiasia wa vituo vya afya Zanzibar Ali Shaaban akitoa neno la shukrani kwa wanafunzi wake (hawapo pichani) wakati wa kuyafunga mafunzo hayo katika Hoteli ya Masons, Shangani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya wafamasia wakifuatilia ufungaji wa mafunzo yao yaliyochukua sita tano katika Hoteli ya Mazsons, Shangani.
Mkurugenzi bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali akimkabidhi cheti kwa mfamasia Issa Ahmada kutoka kituo cha afya cha Jambiani baada ya kumaliza mafunzo yaliyofanyika Hoteli ya Mazsons, Shangani.
Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahrani Ali akizungumza na washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafamasia wakati wa kuyafunga mafunzo hayo katika Hoteli ya Mzsons, Shangani.

Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafamasia na wakufunzi wao baada ya kumaliza mafunzo yao katika Hoteli ya Mazsons, Shangani.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar