MKURUGENZI wa mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Tawi la Pemba, Juma Othman Ali akiwatambulisha wajumbe wa bodi ya mamalaka hiyo kwa wananchi wa Mwambe kwa Sanani, wakati walipotembelea kisima cha wananchi na kukabidhi vifaa mbali mbali vya maji.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Mipira ya maji pamoja na Pampu yake ya kusukumia maji (Mchikichi) Vyote vikiwa na thamani ya shilingi laki 70000/= vimekabidhiwa kwa wanakiojiji wa Mwambe kwa sanani na Malaka ya maji Zanzibar (ZAWA)baada ya wananchi hao kuchimba kisima chao cha Maji wenyewe.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Mustafa Garu, kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ZAWA, Mtumwa Khatib Ameir haonekani, wakiwakabidhi mchikichi wa kusukumia maji wananchi wa Kijiji cha Mwambe kwa Sanani, wenye Thamani ya Shilingi Laki 500000/= makabidhiano hayo yaliyofanyika huko kijijini.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Mtumwa Khatib Ameir akiwakabidhi mipira ya maji wananchi wa kijiji cha Mwambe kwa sanani, yenye thamani ya shilingi laki 150,000/=.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)