Michezo wa Basket Ball kuibua Vipaji Zenj Chini ya Udhamini wa Zanzibar Ocean...
Kikosi cha timu ya Good Morning cha U18, kinachoshiriki michuano hiyo ya kuinua Vipaji kwa viaja katika mchezo wa Basket Ball, zinazofanyika katika viwanja vya maisara Zenj, kilitoka na ushindi wa...
View ArticleMwambe kwa sanani wasaidiwa vifaa vya maji baada ya kuchimba kisima chao
MKURUGENZI wa mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Tawi la Pemba, Juma Othman Ali akiwatambulisha wajumbe wa bodi ya mamalaka hiyo kwa wananchi wa Mwambe kwa Sanani, wakati walipotembelea kisima cha...
View ArticleZantel and Tigo Customers to enjoy 100% Secure and Reliable Mobile Money...
ZANTEL and Tigo have officially launched the mobile money interoperability service in Tanzania that will open up a number of mobile money transactions between the customers’ of the two telecom...
View ArticleMakamu wa Rais na Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Dkt.Mohammed...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika maandamano na viongozi wa Taasisi...
View ArticleTanzania yasisitiza Azimio Kuhusu Walemavu wa Ngozi Liwe na Tija.
Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akilizungumza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo siku ya Alhamis kabla Baraza hilo halijapigia...
View ArticleUjumbe wa Wadi ya Makunduchi Yaendeldea na ziara yake Sweden.
Katika hali ya kupunguza utegemezi wa mafuta, Sweden tayari imeshaanza kutumia umeme kwa magari kama inavyoonekanaWajumbe wa wadi za Makunduchi wakimsikiliza mhadhili wa mafunzo ya ujasiriamali katika...
View ArticleViettel Global Investment JSC kutoka Taiwan yataka kutoa huduma vijijini
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Ofisa wa Kampuni ya Mitandao ta Teknolojia ya Mawasiliano ya Vietnam Tawi la Dar es salaam Bibi Le Duy Duong Ofisini kwake...
View ArticleSUZA kuongeza kozi tano shahada ya kwanza
Na Juma KhamisChuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinatarajia kuanzisha skuli nyengine tano kikianzia na mwaka wa masomo 2015/2016.Akitoa muhtasari wa mipango ya baadae ya chuo hicho kwa wajumbe...
View ArticleZaidi ya 1bn/- zapelekwa kaya maskini
Na Asya HassanMfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF-3) upande wa Zanzibar umetumia shilingi 1,056,819,637 kuziwezesha kaya masikini,ambapo shehia 40 za Unguja na Pemba zimefaidika na fedha...
View ArticlePato la taifa lafikia 26.8tr/-
Na Mwanajuma Abdi, Dar es SalaamWaziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, amesema pato la taifa la bei za bidhaa na huduma limekua hadi kufikia shilingi trilioni 26.8 kwa mwaka 2007 ikilinganishwa na...
View ArticleMichuano ya Wazi ya Mchezo wa Basketiball kwa Vijana U-17, Yakidhaminiwa na...
Kamati ya Maandalizi ya Michuano ya Wazi ya mchezo wa Kikapu kuibua vipaji kwa Vijana wadogo katika mchezo huo Zanzibar, Michuano hiyo imefadhiliwa na Mfanya Biashara ya Mahoteli Zanzibar Amani...
View ArticleSerikali Yazindua Rasmin Usambazaji Takwimu za Pato la Taifa, Pato la...
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum...
View ArticleMAHAFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai mara baada ya...
View ArticleTaarifa kwa Waandishi wa Habari.
WIZARA YA KATIBA NA SHERIATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIDkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Jumatatu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt....
View ArticleBalozi Seif amwakilisha Dk Shein alipofungua tamasha la sita la Kiislamu
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein akilifungua Tamasha la Sita la Kiislamu Zanzibar hapo jumba la Wananchi Forodhani Mjini Zanzibar....
View ArticleTukio la ujambazi maeneo ya Mlandege jana Ijumaa
MKUU wa Polisi Wilaya ya Mjini, Ali Makame (wa pili kushoto) akiangalia gari iliyovunjwa na kuibiwa pesa zinazosadikiwa kuwa ni euro elfu moja na shilingi za kitanzania milioni tano, muda mfupi baada...
View Article