Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Kaskazini Unguja.
Jengo la Kisasa kwa ajili ya kushughulikia kesi za Udhalilishaji wa Wanawake kijinsia na Watoto, katika Mkoa wa Kaskazini Unguja hushughulikia kesi hizo zinazoripotiwa Polisi katika Kituo cha Polisi...
View ArticleUjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yake Nchi Sweden.
Mwanasiasa mpenda maendeleo ndugu Mohd Simba baada ya kufanya mazungumzo yatakayopelekea wanasiasa vijana kutoka Makunduchi kubadilishana ziara na wanasiasa vijana wa Manispaa ya Sundsvall. Ziara hizi...
View ArticleMwenyekiti wa CUF Pro Lipumba awahutubia wanacuf skuli ya Jadida Wete.
WANACHAMA wa chama cha wananchi CUF kisiwani Pemba, wakimsikiliza Mwenyekiti wa chama hicho taifa Pro: Ibrahim Harouna Lipumba, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika skuli ya...
View ArticleAbdulrahman aibuka mwanafunzi bora katika sayansi ya Kompyuta ngazi ya cheti...
Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa katika pozi wakati alipohudhuria mahafali ya 10 ya SUZA ambapo alitunukiwa cheti cha mwanafunzi bora katika sekta ya Sayansi ya Kompyuta ngazi ya cheti ( Certificate...
View ArticleDk Shein ahimiza ufanisi katika ulipaji na ukusanyaji kodi
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 21 Disemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na...
View ArticleDkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa...
View ArticleJK aongeza miezi sita kukamilisha maabara
Na Mwandishi wetuRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewaongezea muda wa miezi sita viongozi na wasimamizi wa ujenzi wa maabara katika skuli za sekondari nchini, ili...
View ArticleUJENZI WA MABWENI SHULE ZA PEMBEZONI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WANAFUNZI MIJINI.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.Jamii imetakiwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za ujenzi wa mabweni katika shule za Sekondari zilizoko pembezoni mwa miji hasa maeneo ya vijijini ili kukabiliana...
View ArticleTwiga Cement yazindua rasmin timu Kombaini ya Makipa wa ligi kuu ya Tanzania.
Kikosi cha timu ya Kombaini ya Makipa wanaoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja baaada ya mchezo wao na timu ya Waandishi wa habari za michezo Tanzania TASWA.Kikosi cha timu ya...
View ArticleViongozi wa Wadi ya Makunduchi Watembelea Makumbusho ya Mji wa Sundsvall.
Katika kumbusho la Manispa ya Sundsvall kuna kinyago kinachoonyesha usambazaji wa habari ulivyokuwa enzi za enzi.Magazeti yalisambazwa kwa baisikeli. Wasambazaji walivaa sare.Askari wa magereza ws enzi...
View ArticleBalozi Seif azindua ujenzi wa tawi la CCM Milimuni, Aweka jiwe la msingi...
MJUMBE wa kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe: Hemed Suleiman Abdalla, wakati alipowasili katika Ujenzi wa Tawi la CCM...
View ArticleDKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KITAIFA YA RIADHA ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Bi Sharifa Khamis akizungumza na Wanahabari kuhusu Mashindano ya kitaifa ya Riadha yatakayofanyika Disemba 26-27 mwaka huu katika Ukumbi wa wizara ya habari Kikwajuni...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt.Bilal Azindua Rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kushoto) na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma wakifurahia burudani ya ngoma za asili, wakati wakiwa kwenye Uwanja wa...
View ArticleHutuba ya Dkt Bilal wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Mafunzo ya Sheria kwa...
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA KATIKA UZINDUZI WA MAJENGO YA TAASISI YA MAFUNZO YA UANASHERIA KWA VITENDO TANZANIATAREHE 22 DESEMBA,...
View Article