Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35047

Zoezi la kukabidhi vitambulisho vya Taifa Wilaya ya Magharibi Zone B

$
0
0

 MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) ITAFANYA ZOEZI LA KUWAKABIDHI VITAMBULISHO VYAO, WANANCHI WOTE AMBAO WAMEJIANDIKISHA NA VITAMBULISHO VYAO VIKO TAYARI KWA UTARATIBU UFUATAO:-


  WILAYA YA MAGHARIB ZONE B KUANZIA
 

TAREHE 23/12 MPAKA TAREHE 27/12/2014 KWA SHEHIA ZIFUATAZO:-
 

NO      SHEHIA                KITUO...
1 KIBWENI SUZA BEIT-EIL - RAS
2 BUBUBU SKULI YA KIJICHI
3 KIHINANI SKULI YA KIHINANI
4 MBUZINI SKULI YA MBUZINI
5 MWAKAJE SKULI YA MWAKAJE SIKU 3 NA MWACHEALALE SIKU 2
6 BUMBWI SOUDI SKULI YA MWENGE
7 DOLE SKULI YA LANGONI
8 KIZIMBANI SKULI YA KIZIMBANI
9 MAGOGONI SKULI YA MAGOGONI
10 KINUNI SKULI YA KINUNI
11 MTOFAANI SKULI YA REGEZAMWENDO
12 WELEZO SKULI YA WELEZO
13 MWERA SKULI YA REGEZA MWENDO
14 KIANGA SKULI YA KIANGA
15 FUONI KIJITOUPELE MADRASAT TANUWIR
16 PANGAWE SKULI YA KIJITOUPELE
17 FUONI KIBONDENI SKULI YA FUONI KIBONDENI SIKU 2, NA SKULI YA FUONI SIKU 3
18 MWANAKWEREKWE SKULI YA MWANAKWEREKWE A
19 MELI NNE SKULI YA MWANAKWEREKWE C

• WANANCHI WA SHEHIA ZINAZOENDELEA NA ZOEZI WANAOMBWA WAENDE WAKAANGALIE MAJINA YAO KATIKA MBAO ZA MATANGAZO KABLA YA KUCHUKUA KITAMBULISHO
• MAMLAKA INASISITIZA KITAMBULISHO NIBURE HATAKAMA UTAHUDUMIWA KATIKA OFISI ZA WILAYA NA KILAMTU ANAESTAHIKI ATAPATIWA KITAMBULISHO CHAKE CHA TAIFA
• WANANCHI WANAOMBWA WASILALE VITUONI WADUMISHE AMANI NA UTULIVU PIA WAFUATE UTARATIBU WATAKAOPANGIWA.
• WATAKAPOKWENDA KUCHUKUA KITAMBULISHO WACHUKUE RISITI WALIZOPEWA WAKATI WA KUJIANDIKISHA,
• KAMA HANA ACHUKUE KITAMBULISHO CHOCHOTE AMBACHO KINATAMBULIKA NA SERIKALI, KAMA HANAVYOTE HIVYO ACHUKUE BARUA YA SHEHA PAMOJA NA PICHA 1 YA PASPORT.
MUDA WA KUFUNGUWA VITUO NI SAA 02:OO MASWALI AU MAONI WASILIANA NASI NO 0777141111 AU 0774141111
KITAMBULISHO CHA TAIFA KWA MAENDELEO YA TAIFA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35047

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>