Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Mbarouk, akizungumza katika sherehe za kukabidhi Vifaa kutoka kwa Wadhamini wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
Meneja Masoko wa Grand Malt Tanzania Fimbo Butala akizungumza na kutowa maelezo ya Udhamini wa Kampuni yao kwa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, wakati wa kukabidhi kwa Vifaa vya michezo kwa timu hizo, kila timu imepata Seti mbili za Jezi, makabidhiano hayo yamefanyika katika hoteli ya bwawani.
Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk, akimkakabidhi seti ya Jezi Kiongozi wa Timu ya Mafunzo Zanzibar, kusho Meneja Masoko wa Grand Malt Fimbo Butala, makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk.mwenye koti akimkabidhi Seti ya jezi za Waamuzi Katibu wa Chama cha Waamuzi Zanzibar Musini Kamara, akishuhudia Meneja Masoko wa Grand Malt Fimbo Butala.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk, akimkabidhi Seti ya Jezi Kiongozi wa timu ya Chipukizi ya Pemba.
Viongo wa Waamuzi wakishiriki katika sherehe za kukabidhiwa kwa Vifaa Timu zinazoshiriki Ligu Kuu ya Grand Malt Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
Viongozi wa Vilabu Vishiriki vya Ligu Kuu ya Grang Malt Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk, wakati wa makabidhiano ya Vifaa kwa timu, kutoka wa Wadhamini wa Ligi hiyo Kinywaji cha Grand Malt, makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
Meneja wa Timu ya Chuoni Ali Shaibu akizungumzia matayarisho ya timu yake ya Chuoni jinsi ilivyojitayarisha kwa mchezo wa Hisani wa Ngao ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar inayotarajiwa kufanyika Kisiwani Pemba 1-9-2013 katika uwanja wa Gombani.
Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Zanzibar ZFA Pemba Ali Mohammed akizungumza na waandishi wa habari kuhusu matayarisho ya mchezo wa ufunguzi wa kati Mabingwa watetezi KmKm na Chuoni zote za Unguja utakaofanyika katika uwanja wa Gombani Pemba.

Meneja wa Timu ya KmKm Said Ali Mfaume akizungumzia kuhusu mchezo wa hisani ya Kombe la Ngao ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar unaotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Gombani 1-9-2013 Pemba, kati wa Mabingwa Watetezi timu ya KmKm na timu ya Chuoni.