Dk Shein aendelea na ziara nchini Uholanzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam,Rene Van Der Plas,alipotembelea...
View ArticleGrand Malt Yadhamini Ligi Kuu ya Zanzibar na Kukabidhi Vifaa kwa Timu...
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Mbarouk, akizungumza katika sherehe za kukabidhi Vifaa kutoka kwa Wadhamini wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, katika ukumbi wa hoteli...
View ArticleMjasiriamali Jua Kali Michezani.
Mjasiliamali akitowa maelezo moja ya bidhaa wanazozalisha katika Vikundi vyao, akitowa maelezo kwa mteja aliyefika katika Soko la Jumapili Jua Kali Michezani Kisongo kujipatia huduma hiyo ya bidhaa za...
View ArticlePBZ Yakabidhi Vifaa vya Ujenzi Madrasa na Skuli Zanzibar kusaidia Jamii
Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman, akimkabidhi Mabati 80 Ust Abdalla Ali Issa, kwa ajili ya Ujenzi wa Madrasa ya Marehemu Bimkubwa Staad Kisimamanjongoo. Unguja, makabidhiano hayo yamefanyika katika...
View ArticleWachina Waja Kuanza Mchakato wa Kuwekeza Zanzibar.
Na Ali Issa, MaelezoWAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Nassour Ahmed Mazrui, amesema lengo la wafanyabiashara wa China kuja Zanzibar ni kutoa fursa pana zaidi ya uwekezaji, kuinua uchumi na...
View ArticleUVCCM Dimani Wapongeza Mansoor Kuvuliwa Uwanachama CCM.
Na Mwandishi wetuJUMUIYA ya UVCCM wilaya ya Dimani,imeunga mkono uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM uliotolewa Dodoma wa kumvua uanachama aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo la Kiembe Samaki, Mansoor...
View ArticleTACAIDS Yakanusha Wafadhili wa Ukimwi Kukimbia.
Na Mwandishi wetuTUME ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) imekanusha taarifa za vyombo vya habari kwamba wahisani wa shughuli za UKIMWI wamejitoa kufadhili shughuli hizo kuanzia mwaka ujao.Hata hivyo, Tume...
View ArticleWanaolinda Amani Dafur Wasombwa na Maji.
DARFUR, SudanWANAJESHI wanne wa kulinda amani wa Umoja katika eneo la Darfur nchini Sudan hawajulikani waliko baada ya kusombwa na maji ya mafuriko.Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa, Rania AbdulRahman,...
View ArticleCCM Yasitisha Kuwavua Uanachama Madiwani Bukoba.
Na Mwantanga Ame, DodomaKAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imebatilisha uamuzi uliofanywa na Halmashauri Kuu CCM ya Mkoa wa Kagera wa kuwafukuza uanachama Madiwani wanane wa chama hicho....
View ArticleRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Shein, Akutana na...
Na Said Ameir, UholanziRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewasili nchini Uholanzi kuanza ziara rasmi ya siku tano nchini humo kufuatia mwaliko wa Waziri Mkuu...
View Article32.5bn/- Kununua Karafuu Zanzibar.
Na Khamis Choum na Mwantanga Abdallah, ZJMMCSHIRIKA la Biashara Zanzibar (ZSTC) linatarajia kutumia kiasi cha shilingi bilioni 32.5 kununua karafuu kavu kutoka kwa wakulima msimu huu wa mavuno.Kauli...
View ArticleLukuvu Wabunge Wamo Orodha Wanaodaiwa Kuingiza Unga.
Na Mwantanga Ame, DodomaWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Sera na Bunge, William Lukuvi, amesema Wabunge ni miongoni mwa wanaotajwa kuingiza na kusafirisha dawa za kulevya na serikali inalazimika kufanya...
View ArticlePBZ Yaazisha Huduma ya Kibenki kwa Njia ya Simu Zanzibar.
Na Haji Nassor, PembaBENKI Watu wa Zanzibar (PBZ), imeanzisha huduma mpya ya kibenki kupitia simu ya mkononi (mobile bank), itakayowarahisishia wateja kujua akiba yao, kulipia maji, umeme na huduma...
View ArticleMoto wateketeza nyumba Kiembe samaki Mkunazi wa pili
Moto mkubwa wateketeza nyumba ya Bi Rahma Aboud mkaazi wa kiembe samaki mkunazi wa pili hapo jana. Inadaiwa kuwa wakati moto huo ulipowaka hakukua na mtu yeyote ndani ya nyumba hio kutokana ilikuwa ni...
View ArticleDk Shein : Tunalipa uzito suala la ulinzi na usalama wa wageni
Na Said Ameir, The Hague, Uholanzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa Serikali yake inalipa uzito mkubwa suala la ulinzi na usalama nchini na...
View ArticleMaoni ya Katiba Mpya Jumuiya ya Watu Wenye Ulemavu Unguja.
Mwenyekiti wa Mkutano wa kutoa Maoni ya Katiba Mpya Tanzania Jasadi A Bungala, akiendesha Kikao cha kutowa maoni ya Katiba Mpya kupitia Jumuiya ya Watu Wenye Ulemavu Unguja kilichofanyika katika ukumbi...
View ArticleMchezo wa Mpira kuibua Vipaji Huanzia Mchangani.
Kipaji cha mchichezo kwa watoto huazia katika hatua za chini ndiko huibuka kipaji cha mchezo wowote ule na kwa mchezo wa mpira waguu huazia katika viwanja vya mchangani katika mpira wa kandimu, kama...
View Article