Waziri Aboud Azungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohammed Aboud, akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar kuhusiana na matayarisho ya sherehe za Mapinduzi kutimia miaka 50, jinsi ya...
View ArticleAliyemuua Shemegi Yake Akamatwa Msituni.
Kauthar Abdalla na Mwashamba Juma MTUHUMIWA wa mauaji ya shemegie aliekuwa akitafutwa kwa muda mrefu hatimae amekamatwa akiwa amejificha katika msitu wa Paje, wilaya ya Kusini Unguja.Mtuhumiwa huyo...
View ArticleHatma ya Dhamana ya Shekh. Ponda Septemba 17
Na Rose ChapewaHATMA ya dhamana na Katibu wa Taasisi za Jumuiya ya Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda sasa itajulikana Septemba 17.Sheikh Ponda alifikishwa tena mahakamani jana mjini Morogoro chini ya...
View ArticleMa RC,DC Wapendekeza Serekali Mbili.
Na Fatma Kitima, DSMWAKUU wa Mikoa na Wilaya nchini wanapendekeza msingi mkuu wa kudai haki kwenye katiba mpya utanguliwe na wajibu ili Watanzania wajenge utamaduni wa kuwajibika ambao utakuwa ni...
View ArticleVyama vya Siasa Vyaombwa Kuchangia Kufanikisha Miaka 50 ya Mapinduzi.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud amesema sherehe za kutimiza miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar zina lengo la kuendeleza azma ya Mapinduzi matukufu ili kufikia...
View ArticleMambo ya Kilimo hayoo ndani ya Mji Mkongwe Zenj..
Kilimo ni sehemu yoyote ile hulimwa kama inavyoonekanamigomba hiyi ikiwa imepandwa jirani na Wizara ya Afya majestiki mbele ya msikiti baraza wa marehemu Mwalim Bei, migomba hii ikiwa imenawiri na kuwa...
View ArticleBalozi wa India Atembelea Kikundi cha Uhifadhi wa Mazingira Nyamanzi.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Pawar Kumar, akimsikiliza Ofisa wa Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Nd. Sheha Mjaja akitowa maelezo wakati alipofanya ziara...
View ArticleKikosi cha Timu ya Small Simba, Kikijaribu Kupanda Daraja Chini ya Kocha Wake...
Kikosi cha Timu ya Small Simba wakati wa Enzi zake kilikuwa tishio kwa Timu za Afrika Masharaki na Kati,kutokana na mchezo wake kuwavutia kila mtu wanapokuwa uwanjani, kikitowa burudani safi. Timu...
View ArticleKingunge Atoa ya Maoni Rasimu ya Katiba
Na Hussein Makame, MaelezoMWANASIASA mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru, amewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa kama nchi kuhusu umoja wa kitaifa, udugu,mshikamano,amani na utulivu wakati wa...
View ArticleDkt. Bilal, Ateta na Rais Mkurunzinza.
Na Mwandishi wetuMAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal amekutana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi katika hoteli ya Hilton Double Tree na kufanya naye...
View ArticleMwanajeshi wa Tanzania Auawa DRC.
Na Mwandishi wetuMWANAJESHI mmoja wa Tanzania mwenye cheo cha Meja, ameuawa mjini Goma Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya kuangukiwa na bomu akiwa pamoja na wenzake.Taarifa kutoka...
View ArticleKamishna wa Polisi Zanzibar Akanusha Kusimamishwa Kazi. Akiri Upanga wa...
Na Mwantanga AmeKAMISHNA wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, amekanusha uvumi ulioenea kwamba amesimamishwa kazi kutokana na kinachodaiwa kupotea upanga maalum wa Jumuiya Majeshi ya Polisi kutoka nchi...
View ArticleNchi 17 Kushiriki Kongamano la Ustaarabu wa Kiislam Zanzibar.
Na Mwashamba JumaWASHIRIKI zaidi ya 170 kutoka mataifa 17 wanatarajiwa kushiriki katika kongamano la kimataifa la ustaarabu wa kiislamu kwa nchi za Mashariki mwa Afrika, linalofanyika Zanzibar kuanzia...
View ArticleAjali Yaua Mmoja, Yajeruhi 19 Pemba.
Na Abdi Suleiman, Pemba MTU mmoja amefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa, akiwemo mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, baada ya gari ya abiria waliyokuwa wakisafiria kutokea Wesha kwenda...
View ArticleSultan Qaboos Aipa Zanzibar 12bn/-. 16 Wadhaminiwa na Masomo ya Juu Kupitia...
Na Kassim Ali, Amina Abeid, ZJMMCSULTAN Qaboos bin Said wa Oman ametoa msaada wa riali 3,100,000 (zaidi ya shilingi bilioni 12.669) kwa ajili ya ujenzi wa msikiti mkubwa wa kisasa katika eneo la Chuo...
View ArticleZanzibar yatiliana saini na Kampuni ya Shell katika kushirikiana kuiendeleza...
Na Said Ameir, UholanziSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kampuni ya Mafuta ya Shell ya Uholanzi zimetia saini Makubaliano ya Ushirikiano katika kuendeleza sekta ya mafuta na gesi. Makubaliano hayo...
View Article