Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohammed Aboud, akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar kuhusiana na matayarisho ya sherehe za Mapinduzi kutimia miaka 50, jinsi ya matayarisho yake na maandalizi yanayoendelea kufanyika kwa nyanja mbalimbali kuboresha Mapinduzi hayo kwa Uzinduzi wa Miradi Mbalimbali inayotarajiwa kufanyika.
Viongozi wa Vyama vya Siasa vya Upinzani Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud, akizungumza nao Ofisini kwake Vuga.Waandishi wa habari wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohammed Aboud, akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar kuhusiana na maandalizi ya sherehe za Mapinduzi kutimia mkiaka 50.mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamo wa Pili Vunga Zanzibar.
Viongozi wa Vyama vya Siasa vya Upizani Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud, alipokuwa akizungumza nao hkuhusiana na matayarisho ya sherehe za Mapinduzi kutimia miaka 50.