Mratibu wa Mafunzo na Elimu ya Ukimwi wa ZAYEDSA Mgori Lucian akitowa maelekezo kwa wafanyakazi wa jumuiya hiyo wakati wa kutowa elimu na ushauri nasaha kwa Vijana wa Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Nakutowa nafasi ya Vijana hao kujuwa afya zao.Zaidi ya Vijana 115, wamejitokeza kutowa damu kucheki kama wana maambukizo ya HIV.
Vijana wa ZAYEDSA wakimsikiliza Mratibu akitowa maelekezo ya jinsi ya kutowa Elimu ya maambukizo ya Ukimwi kwa Vijana wa Nungwi, wakati walipokuwa katika zoezi hilo katika kijiji hicho.
Ofisa wa ZAYEDESA Aisha Ali Karume, akitowa maelezo ya kugawa vipeperushi vya kutoa Elimu ya Ukimwi na Athari za Dawa za kulevya kwa Vijana wakati wakiwa katika zoezi la kutowa Elimu na Ushauri Nasaha kwa Vijana wa Nungwi.
Mfanyakazi wa Jumuiya ya ZAYEDESA, akitowa Elimu ya Ushauri Nasaha kwa Vijana wa Kijiji cha Nungwi wakati walipofika katika kijiji hicho kutowa elimu ya maambukizo ya Ukimwi na madhara ya matumizi ya dawa za kulevya, n