Matunda ya miaka 50 ya Mapinduzi
Tangi hili la Maji ambalo limejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikishirikiana na mradi wa African Development Bank - ADB, katika eneo la Gongoni Micheweni Pemba, ambalo linakadiriwa kuchukuwa...
View ArticleJumuiya ya Zayedesa yatowa Elimu na Ushauri Nasaha Nungwi
Mratibu wa Mafunzo na Elimu ya Ukimwi wa ZAYEDSA Mgori Lucian akitowa maelekezo kwa wafanyakazi wa jumuiya hiyo wakati wa kutowa elimu na ushauri nasaha kwa Vijana wa Kijiji cha Nungwi Mkoa wa...
View ArticleUVCCM Yafanya Mkutano Hadhara Nungwi Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa ulioandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM, katika kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika katika...
View ArticleMakamo wa Rais wa ZFA Unguja AlHajjj Haji Ameir Aifanyia tafrija Timu ya...
Makamo wa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Zanzibar AlHajj Haji Ameir (Boss Mpakia) akizungumza na Waandishi wa habari na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar baada ya kumaliza kupata chakula cha...
View ArticleTaarifa ya Kurudi kwa Balozi Seif
Taarifa kwa Vyombo vya HabariMakamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd kesho Tarehe 19/11/2013 anatarajiwa kuwasili Zanzibar kutoka Ziara yake ya kikazi nchini Marekani.Mara baada ya...
View ArticleLigi Daraja la Pili Taifa Mtoni na Jangombe Imeshinda 4--0
Mshambuliaji wa timu ya Mtoni akiwapita mabeki wa timu Jangombe katika mchezo wa Ligi Daraja la Pili Taifa mchjezo uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Jangombe imeshinda kwa mabao 4--0 Mshambuliaji wa...
View ArticleRais wa Zanzibar Dkt Shein afanya Ziara Kisiwani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wanancchi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya...
View ArticleKikosi cha Timu ya Taifa ya Zanzibar Hadharani leo.
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa Zanzibar ‘Zanzibar Heroes Salum Nassor Bausi ametangaza majina ya wachezaji 21 watakaoshiriki michuano ya Chalenji Novemba 27 mwaka huu, nchini Kenya.Zanzibar Heroes ambayo...
View ArticleMambo 'tiligivyogo' Skuli ya Sekondari ya Lumumba
Skuli ya Sekondari ya Lumumba, hapo zamani za kale ikijulikana kama 'Lumumba College' iko hatarini kunyofoka vipande vipande kutokana na uchimbaji mchanga uliokithiri kama unavyoonekana kwenye picha....
View ArticleDk.Shein azungumza na WanaCCM Tumbe
Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Tumbe wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza katika mkutano wa chama katika kijiji cha...
View ArticleUwanja wa Amaan kuwekwa nyasi bandia
Nyasi bandia zikishushwa tayari kwa kuwekwa katika uwanja wa Amaan.Picha na Haroub Hussein
View ArticleKituo cha Daladala chazidi kujikongoja
Kilitakiwa kiwepo Donge, jengo la Barclays lakini imeonekana hakikupendezwa hivyo kimeshaanza kujikongoja kimeshapita Afisu Kuu ya CCM na sasa kinakaribia Michenzani tobo la Pili.Picha na mdau kutoka...
View ArticleJengo la Shirika la utangazaji Zanzibar (ZBC)
Jengo la Shirika la Utangazaji Zanzibar (Redio) liliopo Rahaleo ni moja ya Matunda ya Mapinduzi ambalo lina miaka 20 sasa tangu lifunguliwe rasmi katika mwaka 1993 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
View ArticleZIRPP Monthly Lecture : "HIV/AIDS Sitution in Zanzibar and its Impact on...
ZIRPP Monthly LectureSpeaker: Ms. Aisha Ali Karume.Subject: "HIV/AIDS Sitution in Zanzibar and its Impact on Education".Date & Time: Saturday 23th November 2013; at 4:00 pm.Venue: ZIRPP Office;...
View ArticleKamati ya Bodi ya Ligi Kuu T.Bara yaipiga Jeki Zanzibar Heroes.
CHAMA Cha Soka Zanzibar (ZFA) Taifa jana kimepokea hundi ya Shilingi milioni tano kutoka Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ikiwa ni mchango wao kwa ajili ya timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA...
Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika, wakati wakiwasili kwenye ukumbi wa Mkutano wa Tatu wa nchi za Kiarabu...
View Article