Sahara Store larushiwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni Bomu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Mkadam Khamis akitoa taarifa kwa waandishi wa habari. Video na taarifa kwa hisani ya Munir ZakariaKitu kinachosadikiwa ni bomu (mfano wa sausage) kimerushwa na...
View ArticleZANTEL values your feedback - ZANTEL inathamini maoni yako
WE VALUE YOUR FEEDBACKDEAR CUSTOMER:TO IMPROVE OUR CUSTOMER SERVICES PLEASE GIVE YOUR VALUABLE FEEDBACK ONCALL: 0775044755(MONDAY – FRIDAY 9:00AM TO...
View ArticleAfisa Habari Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani alalamikiwa
Na Alex Kassuwi wa Swahili TV na Swahili Radio OnlineWiki iliyopita baada ya kulemewa na maswali kutoka kwa wasomaji,wasikilizaji, watazamaji na wafuatiliaji wa vyombo vyetu vya habari vya MMK MEDIA...
View ArticleLigi Kuu ya Grand Malt Zanzibar Chipukizi na Polisi imeshinda 2-1
Kidanda cha kuweka matokea ya mchezo wa ligi katika uwanja wa mao kama linavyoonekana likiwa katika uwanja huo, tangu liwekwe sasa ni wiki moja hutumika katika kiwanja hicho. Mmeliona hiloBeki wa timu...
View Article17 Wafa Ajalini.
Na Waandishi wetuWATU 17 wamefariki katika ajali mbaya za barabarani zilizotokea Mkoani Dar es Salaam, Mbeya na Dodoma jana.Katika ajali ya kwanza iliyotokea jijini Dar es Salaam iliwahusisha wapanda...
View ArticleJK, Kenyata Wazungumzia Kuhusu Shambulio la Kigaidi Kenya.
Na Mwandishi maalum, New YorkRAIS wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete amezungumza kwa simu na mwenzake wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta kufuatia shambulizi la kigaidi katika duka la kifahari Westgate mjini...
View ArticlePolisi Wafa katika Ajali Kahama
Na Kadama Malunde, ShinyangaASKARI Polisi watatu wamekufa papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa wakiwemo maafisa wawili wa Idara ya Uhamiaji kufuatia gari walilokuwa wakisafiria kupinduka.Ajali hiyo...
View ArticleWaliouawa Kenya 69. Magaidi Wajichoma Moto.
NAIROBI, KenyaMOSHI mkubwa, milio ya risasi na miripuko ilisikika jana katika jengo la Westgate ambako wanamgmbo wa Al Shabaab wameteka jengo hilo pamoja na kuwashikilia mateka Wakenya.Waziri wa...
View ArticlePolisi Zanzibar Yakamata Wahamiaji Haramu.
Na Khamis AmaniJESHI la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, linawashikilia wahamiaji haramu 10.Wahamiaji haramu hao wametiwa mbaroni Septemba 19 na 20 mwaka huu katika maeneo tofauti ya mkoa...
View ArticleMdau wa TASWA Zanzibar
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar Mwinyimvua Nzukwi, akizungumza na Waandishi wa habari za michezo Zanzibar kuhusiana na Chama chao kinachoendesha timu ya Waandishi wa...
View ArticleSherehe za Elimu bila malipo zilivyoadhimishwa kitaifa Gombani , Pemba
WANAFUNZI wa skuli ya Michakaeni B, darasa la kwanza na Pili, wakiimba wimbo maalumu wa kumkaribisha, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ali Juma Shamhuna (mwenye kofia kati katiu) wakati...
View ArticleUtoro maskulini ni miongoni mwa sababu zinazopelekea watoto kufeli mitihani yao
Na Abdi Suleiman, Pemba WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ali Juma Shamhuna amesema kuwa, utoro kwa wanafunzi wengi skulini ni moja ya sababu kubwa, iliyopelekea matokeo mabaya ya mitihani...
View ArticleMamlaka ya maeneo huru, Sharjah yaonesha nia ya kutaka kujenga kiwanda cha...
Na Othman Khamis Ame, Sharjah, UAEMamlaka ya maeneo huru ya uwekezaji ya Hamriya Nchini Sharjah imeonyesha nia ya kutaka kujenga kiwanda kikubwa Zanzibar cha usafishaji wa mafuta ya vyombo vya moto na...
View ArticleWanawake Zanzibar wataka serikali tatu
WANAWAKE wa Zanzibar wamesema suala la serikali tatu ni lazima liandikwe kwenye katiba za serikali ya Tanganyika na Zanzibar ili kuweka wazi mambo ambayo hayataingizwa katika Muungano.Wanawake hao...
View ArticleCCM yawafunda wanachama wake katika itikadi
Katibu wa Idara ya Uchumi, Jimbo la Mjimkongwe,Zanzibar , Zuwena Suleiman (aliyesimama) akitoa hotuba ya uzinduzi wa darasa la Itikadi kwenye tawi la Shangani mjini zanzibar jana.Picha na Martin...
View Article