Jengo la Shirika la Utangazaji Zanzibar (Redio) liliopo Rahaleo ni moja ya Matunda ya Mapinduzi ambalo lina miaka 20 sasa tangu lifunguliwe rasmi katika mwaka 1993 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Salmin Amour.
Picha na Haroub Hussein