Mashine za Kuzibia Mipira ya Gari Re Condition kutoka Uingereza Zikiwa katika hali Nzuri na Ubora wake Zikiwa katika Seti moja Pcs 3 Zinauzwa kwa Bei Rahisi Shilingi miliono 7, Maelewano Yamo. Na Huduma ya Usafirishaji Itakuwepo kwa Gharama ya Mnunuzi. Kwa Mawasiliano Unaweza kuwasiliana kwa
Ukitaka Kuziona Unaweza Kufika Jumba Namba 8 Mwisho Michenzani Zanzibar
Jirani na Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Kwa Zuberi Kiosk
Ndg. Saleh Namba ya Simu 0774 659895.
Na
Ndg Mbarak kwa Namba ya Simu 0779 100064