Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 36004 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msafara wa Lowassa Wasimamishwa zaidi ya Mara Nne Wakati Akiwa Safarini...

 Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tangazo la Biashara ya Vifaa vya Mashine za Kuzibia Pancha Matairi ya Magari...

Mashine za Kuzibia Mipira ya Gari Re Condition kutoka Uingereza Zikiwa katika hali Nzuri na Ubora wake Zikiwa katika Seti moja Pcs 3 Zinauzwa kwa Bei Rahisi Shilingi miliono 7, Maelewano Yamo. Na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea Urais wa CCM Dk Magufuli Aendelea na Kampeni zake,Kesho Kunguruma...

 Pichani kati ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli akiwa sambamba na Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde kwa pamoja wakiwapungia wananchi wa jimbo la Mtera (hawapo...

View Article

CCM Zanzibar Yafanya Tathimini yatarajia Kujipatia Ushindi wa Asilimia 60%

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar    29/09/2015Chama cha Mapinduzi CCM kimetoa tathmini yake ya mwelekeo wa Kampeni za Uchaguzi mkuu zinazoendelea nchini na kudai kuwa Mgombea wake wa Urais Dkt Ali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Emirates yamtambulisha Meneja mpya wa Tanzania

*Ni Bw. Husain AlsafiMeneja mpya wa Shirika la ndege la Emirates nchini Tanzania, Husain Alsafi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipokuwa akijitambulisha, Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein Aendelea na Mikutano Yake ya Kampeni...

Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein. akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya kuendelea na mikutano yake ya kampeni Zanzibar kuomba ridhaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazetini Bongo Tz

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasimamizi na Waratibu wa Uchaguzi Mikoa ya Iringa na Mbeya Watakiwa...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro.Na Kahema Emanuel,MbeyaWito umetolewa kwa Waratibu  wa uchaguzi wa mikoa ,wasimamizi  wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi pamoja na maafisa uchaguzi wa halmashauri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dk. Bilal Achangisha Shs.105 Milioni Kuhifadhi Vyanzo vya Maji...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Maalum, Mshauri wa kampuni ya VIP Engineering & Marketing, Fr. James Rugemalira, wakati wa hafla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa CUF Mtambwe

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika viwanja vya Uondwe Mtambwe.  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete ahutubia kwa mara ya mwisho kwenye Baraza la Umoja wa mataifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya  mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mataifa  akiwa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uzinduzi wa kanuni ya kudhibiti matumizi ya misumeno ya moto

 Baadhi ya misumeno ya moto iliokamatwa katika sehemu mbalimbali ambayo ikitumika katika kukata miti ikiwa imewekwa kusubiri kuangamizwa kwa moto  katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IT Bridge yawafikia wanafunzi 60,000

Kamishina wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eusella Bhalalusesa akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome kuzindua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa CCM Kojani

 MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Kojani, akiwa na mjukuu wake kwenye mkutano wa kampeni uliokuwa na lengo la kuwanadi ugombea ubunge, uwakilishi na udiwani jimboni humo, (Picha na Haji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA yajipanga kuliwezesha Jeshi la Polisi kukabiliana na matumizi ya mabaya...

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Uongozi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania { TCRA } ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wake Dr. Ally Yahya Simba wa Pili kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa kampeni wa CCM Wawi

 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte, akizungumza na wananchama wa CCM Jimbo la Wawi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za jimbo hilo, huko katika viwanja vya maskani ya wazee Machomanne Chake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa wadau wa habari ulioandaliwa na Press Club Pemba

 KATIBU Mkuu wa Pemba Press Club Khatib Juma Mjaja, akitoa maelezo Mchache kwa washiriki wa kongamano la wadau wa Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu, lililoandaliwa la PPC kwa kushirikiana na Umoja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanahabari watakiwa kuzingatia usalama wao wakiwa kazini

  Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC(katikati) Harusi Mpatani akionesha Mfano wa Jacketi ambazo wamezitoa msaada kwa Wanahabari wa Zanzibar kupitia Jumuiya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli aahidi kukomesha mapigano ya wakulima na wafugaji nchini

  Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa CUF Mwambe, jimbo la Kiwani Pemba

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wanachama wake katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mwambe jimbo la Kiwani....

View Article
Browsing all 36004 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>