Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 36025

Mkutano wa kampeni wa CCM Wawi

$
0
0

 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte, akizungumza na wananchama wa CCM Jimbo la Wawi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za jimbo hilo, huko katika viwanja vya maskani ya wazee Machomanne Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WANANCHI na wanachama wa CCM Jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte, wakati alipokuwa akiwanadi wagombea wa jimbo hilo, katika viwanja vya maskani ya Wazee Machomanne.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte, akimnadi mgombea Uwakilishi jimbo la Wawi, Hamad Abdalla Rashidi (Gerei)kwa wananchi wa jimbo hilo wakati wa uzinduzi wa kampeni za jimbo hilo katika viwanja vya Maskani ya Wazee Machomanne.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte, akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Wawi, Daudi Khamis Juma kwa wananchi wa jimbo hilo wakati wa Uzinduzi wa kampeni za jimbo hilo katika viwanja vya maskani ya wazee Mchomanne.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MGOMBEA Ubunge jimbo la Wawi Daudi Khamis Juma mwenye ilani ya CCM, akiwa na mgombea Uwakilishi jimbo hilo Hamadi Abdalla Rashid, wakimsikiliza kwa makani Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte, wakati akizindua kampeni za Jimbo hilo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MWENYEKITI wa kamati ya Siasa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na wananchi wa jimbo la wawi, wakati wa uzinduzi wa kampenzi za jimbo hilo, katika viwanja vya Maskani ya wazee Machomanne.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 36025

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>