Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Msajili wa vyama vya siasa Nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Pembeni yao ni Manaibu wasajili wa Vyama vya siasa Tanzania Zanzibar na Tanzania Bara.
Msajili wa vyama vya siasa Nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif alipofika kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kwake kushika wadhifa huo hivi karibuni.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimshindikiza Msajili wa vyama vya siasa Nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi maara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Pembeni yao ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanzania kwa upande wa Zanzibar Bwana Rajab Baraka.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR ).