Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Uzinduzi wa tangi la kuvunia maji ya mvua, machomane, Chakechake

$
0
0
 
NAIBU waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Mhe Zahra Ali Hamad, akiondosha kitambaa kuashiria kuzindua Tangi la kuvunia maji ya mvua, huko skuli ya Maandalizi Machomanne Chake Chake, ikiwa ni moja ya shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
TANGI la kuvunia Maji ya Mvua, huko Maandalizi Machomanne Chake Chake, lililozinduliwa na Naibu waziri wa wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Mhe Zahra Ali Hamad, katika katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
AFISA mdhamini Wizara ya Ardhi Makaazi, Maji na Nishati Pemba, Hemed Salim Hemed, akitoa taarifa ya kitaalamu juu ya ujenzi wa tangi la kuvunia maji ya mvua, huko machomanne mara baada ya kuzinduliwa rasmi, na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
WANAFUNZI wa skuli ya Maaandalizi Machomanne wakimsikiliza kwa makini, Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Mhe Zahra Ali Hamad, wakati alipokuwa akizungumza mara baada ya kuzindua tangi la kuvunia maji ya Mavua, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.
 
 NAIBU waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Mhe Zahra Ali Hamad, akizungumza na wananchi na wanafunzi wa skuli ya Maandalizi Machomanne Chake Chake, mara baada kuzindua tangi la kuvunia maji ya mvua,ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, kushoto ni mkuu wa wilaya hiyo Mwanajuma Majid Abdalla.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA



Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>