Mdau Akiinjoi na Njiwa Wake Huyooo..............
Duniani kila mtu ana starehe zake na jinsi ya kupoteza time kwa kuangalia njiwa wake kama mdau huyu akiwa katika mitaa ya michezani akipozi kwa kuangalia mifugo yake..Mdau huyu akiwa na njiwa wake...
View ArticleMaonesho ya Kibiashara ya Wansiria Bwawani Zanzibar.
Maonesho ya Kibiashara ya Bidhaa mbalimbali kutoka kwa Wafamnyabiashara wa Siria yamefunguliwa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani na kuonesha bidhaa mbalimbali kutoka nchini kwao
View ArticleBREAKING NEWS: TRENI LAGOMA KUONDOKA KWA TAKRIBANI MASAA MATATU HAPA STATION...
Baadhi ya wananchi waliofika mida ya saa 11 za jioni wakielekea kwenye traini la Mwakyembe. Hii imetokana na kutokea kwa itilafu kwenye Engine ya Traini ilo. Kutokana na tatizo ilo Imepelekea usumbufu...
View ArticleMashine ya Kuchunguza Vidonda vya Tumbo Yazinduliwa Hospitali ya Mnazi Mmoja
Jopo la Madaktari Bingwa wa Uchunguzi wa Vidonda vya Tumbo kutoka China wakimfanyia uchunguzi mmoja wa Mgonjwa wa Vidonda vya tumbo katika Hospitali ya Mnazi mmoja, baada ya kufungulia Kitengo cha...
View ArticleDkt. Shein Azungumza na Watendaji wa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma Zanzinbar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi, Kazi na Utumishi wa Umma,katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpangokazi wa...
View ArticleDK. SHEIN:KAMATI ZA AJIRA ZIELIMISHE VIJANA HALI YA AJIRA NCHINI
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 4 Disemba, 2013TAARIFA KWA VYOMBO VYA...
View ArticleMchezo wa Nage kusherehekea miako 50 ya Mapinduzi
Michukuano ya kusherehekea maadhimishi ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mchezo wa Nage inayowashirikisha Vijana wa Majimbo ya Wilaya ya Mjini yamekuwa kivutio kwa wapenzi wa mchezo huo...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt Bilal Amuaga Balozi Mpya Nchini Nigeria Balozi Ole Njolay.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi mpya nchini Nigeri, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...
View ArticleWaandishi Wapingwa Msasa katika Mafunzoya Lishe Zenj.
Mkufunzi katika Mafunzo ya Waandishi wa habari kuhusiana na Lishe na Utapia Mlo kwa Watoto Bi. Hanima Othman, akielezea matatizo yanayosababisha Utapia Mlo kwa Watoto na Watu wazima katika mafunzo ya...
View ArticleRais Kikwete ameteua Nd Johari Masoud Sururu kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Johari Masoud Sururu kuwa Kamishna mpya wa Uhamiaji Zanzibar.Kabla ya uteuzi huu ambao unaanzia tarehe 24...
View ArticleUzinduzi wa tangi la kuvunia maji ya mvua, machomane, Chakechake
NAIBU waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Mhe Zahra Ali Hamad, akiondosha kitambaa kuashiria kuzindua Tangi la kuvunia maji ya mvua, huko skuli ya Maandalizi Machomanne Chake Chake, ikiwa ni...
View ArticleTiketi za Kombe la Dunia Ndani ya Dar
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeipa Tanzaniamgawo wa tiketi 260 za Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil.Watanzania wanaohitaji tiketi hizo wanatakiwa kutuma maombi TFF...
View ArticleChina kujenga kituo cha maradhi ya mifupa na magonjwa ya tumbo Zanzibar
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Dahoma akiukaribisha ujumbe wa Madktari kutoka Jimbo la Changzhou katika sherehe za utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa na...
View ArticleDk Shein amtaka Msajili wa vyama vya siasa kuhakikisha vyama vinafanya...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 04 Disemba, 2013TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa...
View ArticleStatoil and the State University of Zanzibar (SUZA) sign MoU on academic...
Statoil and SUZA took a step forward in strengthening their cooperation by signing a Memorandum of Understanding (MoU) which will support capacity-building in the country.The MoU was signed today in...
View ArticleSUZA Yatiliana Saini na Kampuni ya Nishati ya Statoil ya Norway.
Vice-Chancellor Prof. Idris Rai. aakitiliana saini na Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Statoil ya Norway,Mr. Knut Henrik Dalland, makubaliano ya kutowa Taaluma ya Kuwajengea Uwezo, katika maswala ya...
View ArticleUfunguzi wa kituo cha utibabu na uzalishaji mifugo Mangapwani
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yusuf Mzee akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa kituo cha utabibu na uzalishaji mifugo kiliopo Mangapwani Mkoa Kaskazini `B’ Unguja. Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na...
View Article