Tamko la Wanachadema Mkoa wa Mwanza.
ndugu wanahabari, muda mfupi uliopita tumetoka kufanya mkutano na waandishi wa habari hapa mwanza kwenye ukumbi wa HILL FRONT sisi kama wanachama wa chadema kuelezea msimamo wetu dhidi ya...
View ArticleGari ya Enzi Zile ya Austin of England hiyo Zenj hadi leo.
Mdau unakumbuka enzi zile Zenj ikiwa na agari yanayohesabika kabila zake na wachache wanaomiliki gari kama aina hii na aina nyegine. Enzi hizo gari zilizokuwa zikitamba Zenj gari za Cosea Cortina...
View ArticleDk. Shein Azungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa
Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya...
View ArticleRais Kikwete akutana na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Kuhudumia Waathirika...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Kuhudumia Waathirika wa Dawa za kulevya na UKIMWI iitwayo Medicins Du Monde - Harm Reduction Programe alipofika na ujumbe wake...
View ArticleMiti Mikubwa katika Mji Mkongwe Zenj.
Moja ya Mti wa historia katika mitaa ya mji mkongwe ni Huu Mbuyu uliooko katikati ya Mji wa Unguja na kuwa kivutio kwa Wageni na Wananchi wanaotembelea katika Visiwa vya Zanzibar na kujiuliza Mbuyun...
View ArticleMambo ya Soko la Samaki Zenj
Wachuuzi wa Samaki katika Marikiti Kuu ya Darajani wakichuna ngozi ya Samaki aina ya Chewa aliyevuliwa katika ukanda wa Pwani ya Nungwi, na kufikishwa katika mnada huo na kuuzwa kwa shilingi laki mbili...
View ArticleArticle 7
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 03 Disemba, 2013 TAARIFA KWA...
View ArticleRais Kikwete Mgeni Rasmin Sherehe za Watu Wenye Ulemavu Tanzania.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya MrishoKikwete, akikata utepe kuashiria kuzindua Alama za Usalama Barabarani kwa Watu Wenye Ulemavu, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye...
View ArticleMandhari ya Eneo la Amani Nyerere Zenj
Eneo la Mandhari ya Amani Nyerere ambalo sehemu hii ya mbele ambayoilikuwa katika hari ya mashimo baada ya baadhi ya wananchi kuchimba mchanga na kuwa sehemu ya mporomoko wa ardhi, sasa kama...
View ArticleMtengenezo Makubwa wa Uwanja wa Amaan.Kuwekwa Nyasi Bandia
Uwanja wa Mpira wa Kimataifa wa Amaan ukiwa katika matengenezo makubwa kwa ajili ya kuwekwa nyasi bandia, ili kuwa katika kiwango cha Kimataifa kuweza kuchezezwa na timu yoyote kutoka nje ya Zanzibar...
View ArticleBalozi Seif Akutana na Uongozi wa Zantel
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi, akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Mtandao wa Mawasiliano kupitia mfumo wa satalaiti la Etisalat linaloendesha Kampuni ya...
View ArticleZANTEL Imejipanga Kuongeza Uzalishaji kuitia Mfumo wa Kisasa.
Na Othman Khamis Ame. OMPRKampuni ya simu za mkononi ya Zantel imejipanga kuongeza uzalishaji kupitia mfumo wa kisasa wa mawasiliano utakaokwenda sambamba na kutanua kwa ongezeko la ajira...
View ArticleZanzibar Heroes Yalala 2-0 kwa Harambee Stars
Na Mahmoud Zubeiry, NakuruKENYA, Harembee Stars imeungana na Ethiopia kutinga Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya kuifunga Zanzibar mabao 2-0 Uwanja...
View ArticleRais Kikwete awapandisha vyeo Maafisa wa Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu wanne wa Jeshi la Polisi Tanzania. Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi wa...
View ArticleRais Jakaya Akutana na Wafanyabiashara wa Uturuki Ikulu Dar.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na ujumbe wa Viongozi wa Umoja wa wafanyabishara kutoka Uturuki wa (RSKON) walipofika na kukutana na Rais Ikulu jijini...
View Article