Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Dahoma akiukaribisha ujumbe wa Madktari kutoka Jimbo la Changzhou katika sherehe za utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa na magonjwa ya tumbo katika Hospitali ya Abdalla Mzee, Mkoani Pemba na Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika sherehe zilizofanyika leo Wizara ya Afya Mjini Zanzibar.Waziri wa Afya wa Zanzibar Juma Duni Haji na Naibu Mkurugenzi Mambo ya Afya kutoka jimbo la Changzhou Dk. Chen Jiangua wakitia saini makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya Mifupa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani na magonjwa ya tumbo Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika sherehe zilizofanyika Wizara ya Afya Mjini ZanzibarWaziri wa Afya wa Zanzibar Juma Duni Haji akibadilishana hati ya makubaliano na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afya wa Jimbo la Changzhou baada ya kutiliana saini makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa Hospitali ya Abdalla Mzee na Kituo cha magonjwa ya tumbo Hospitali kuu ya Mnazimmoja katika sherehe zilizofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar.Picha ya pamoja ya viongozi wa Wizara ya Afya ya Zanzibar wakiongozwa na Waziri wa Afya Juma Duni Haji na Ujumbe wa madaktari kutoka Jimbo la Changzhou ulioongozwa na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afya wa Jimbo hilo baada ya kutiliana saina makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa Hospitali ya Abdalla Mzee na kituo cha maradhi ya matumbo Hospitali ya Mnazimmoja. Sherehe hiyo ilifanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).