Mji wa Chakechake Pemba ukiwa na haiba ya kuvutia kwa maeneleo ya mji huo kwa majengo ya kuvutia na kuupamba kwa majengo hayo.Kama linaloonekana hapa mdau ni jengo la Hoteli ya Kitalii katika mji huo na kuuweka katika haiba ya kuvutia kwa wageni wanaotembelea Chakechake. Chake siyo ile ya zamani unayoikumbuka wewe tembea ujionee jinsi mji huu ukiwa katika mabadiliko ya haraka haraka kwa ujenzi wake kukiwa na majengo ya gorofa zaidi na yanaendelea kujegwa.a
↧