Mabomba ya Mradi wa Usambazaji Maji Safi katika Kijiji cha Micheweni
Mradi mkubwa wa usambazaji wa maji safi na salama kwa Wananchi mbalimbali katika kisiwa cha Pemba umeshamiri kwa utandazaji wa mabomba ya maji katika sehemu mbalimbali za Vijiji vya Pemba, kama...
View ArticleMji wa Chakechake Pemba Wapambwa na Magorofa
Mji wa Chakechake Pemba ukiwa na haiba ya kuvutia kwa maeneleo ya mji huo kwa majengo ya kuvutia na kuupamba kwa majengo hayo.Kama linaloonekana hapa mdau ni jengo la Hoteli ya Kitalii katika mji huo...
View ArticleZIRPP Monthly Lecture :"The Role and Position of Zanzibar in the Ongoing...
Speaker: Mr. Msellem Khamis MsellemSubject: "The Role and Position of Zanzibar in the Ongoing Process of East African Integration"Abstract: The East African Community has passed through many stages in...
View ArticleWaa Skuli ya Fidel Castro Pemba ikiwa katika Mandhari ya Kupendeza.
Jengo la Skuli ya Sekondari Feidel Castro likiwa katika hali ya kupendeza baada ya ukarabati wake Mkubwa uliofanywa na Wizara ya Elimu kurudisha hadhi yake, kwa kutoa Wanafunzi Wengi na Wengi wao ni...
View ArticleZiara Mke wa Rais wa Zanzibar Kutembelea Vikundi vya Wajasiriamali Wanawake...
Bidhaa za Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Pemba hizoMke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikundi vya Ushirika vya Wanawake Wajasiriamali Kisiwani Pemba...
View ArticleMambo ya Mji wa Chake kwa Magorofa
Moja ya jumba kubwa kuliko yote katika mji wa Chake ni hili likiwa na gorofa kama sita hivi
View ArticleKikwete ashauriwa kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akifungua mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi la CUF huko Buguruni, kulia ni Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Hamad...
View ArticleWajumbe wa Baraza la wawakilishi watakiwa kuibana Serikali ili kuendeleza...
Na Himid Choko, BLW Katibu wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Ndugu Yahya Khamis Hamadi amewataka Wajumbe wa Baraza hilo kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa kuidhibiti...
View ArticleCCM kutoa kipaumbele kwa vijana wasomi wa vyuo vikuu
Wajumbe wa Mkoa wa Vyuo Vikuu CCM Zanzibar walioshiriki kongamano la Kutimia miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 liliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini...
View ArticleNdugu yetu aliyefariki Afrika Kusini - Jamaa zake wanatafutwa
Watanzania waishio Johannesburg wanawatafuta ndugu, rafiki au jamaa wa Shiraz Abeid Juma (pichani), ambaye sasa ni marehemu. Shiraz alifariki wiki hii na kuzikwa siku ya Jumanne huko Johannesburg,...
View ArticleDk Shein azindua mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar
Baadhi ya wafanya biashara walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo...
View ArticleMaalim Seif: 'Msichague wagombea mamluki'
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi wa Basihaya, Kata ya Bunju jimbo la Kawe, wakati alipofanya ziara ya kutembelea baadhi ya Serikali za mitaa jimboni huo. (Picha na...
View ArticleDk Shein afungua matembezi ya UVCCM kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi, Micheweni
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 22 Disemba, 2013TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa...
View ArticleMama Asha akabidhi zawadi kwa ajili ya mashindano ya kusherehekea miaka 50 ya...
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akimkabidhi Zawadi ya Bao miongoni mwa Mabao 12 Katibu wa mchezo wa Bao Wilaya ya Chake chake Nd. Faki Salum Khamis aliyojitolea...
View ArticleUfunguzi wa matembezi ya UVCCM leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,alipowasili katika uwanja...
View ArticleViongozi wa Wazazi Wamtembelea Komandoo Dkt Salmin.
Rais Mstaaf wa Awamu ya Tano wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma (Komandoo) akizungumza na Viongozi wa Jumiya ya Wazazi Tanzania walipofika nyumbani kwake kumtembelea na kujua...
View ArticleWawakilishi waiomba Serikali kununua mashine ya DNA
Na Khamisuu AbdallahWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameiomba Serikali kuhakikisha kifaa cha DNA kinapatikana ndani ya muda mfupi kwa lengo la kuondoa changamoto iliyokuwepo sasa kwa kukosekana kwa...
View ArticleMama Mwanamwema Shein awataka UVCCM kuibua mapya kimaendeleo
Na Mwandishi WetuMKE wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein, amewataka Vijana wa Chama cha Mapinduzi, kuibua mambo mapya ya maendeleo yatayoifanya Zanzibar kuwa nchi yenye mafanikio na kukuza soko...
View Article