Haroun:Wasomi timizeni wajibu wenu
Na Juma KhamisWAZIRI wa Nchi (OR), Kazi na Utumishi wa Umma, Mhe.Haroun Ali Suleiman, ametoa changamoto kwa wasomi kuandika machapisho mbalimbali ya kitaalamu, akisema haiwezekani msomi mwenye shahada...
View ArticleKipanya chaua 6
Na Amina Omari,TangaWATU sita wamefariki dunia papo hapo na wengine 26 kujeruhiwa baada ya daladala kuligonga lori la mizigo, katika eneo la Kange barabara kuu itokayo Tanga mjini kwenda...
View ArticleSiku ya Uchangiaji wa Mfuko wa Uwezeshaji Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar...
View ArticleMatunda ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar hayoooo...
Kituo Kipya cha Afya ya Wazazi na Watoto katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba ni moja ya Miradi ya Serekali katika kutowa huduma ya Afya, Kimefunguliwa hivi karibuni katika...
View ArticleMandhari ya Mji wa Zanzibar
Mandhari ya Mji wa Zanzibar pichani ukionekana kwa umbali wa uju ikionesha mabadiliko ya majengo yake ya kileo baada ya mabadiliko ya miundombinu ya Ujenzi wa kileo kwa kutumia mabati katika uekezaji...
View ArticleZitto afunika Kasulu
Na Mwandishi wetuMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amepata mapokezi mengine makubwa kutoka kwa wafuasi wa Chadema, katika ziara yake ya siku ya pili wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.Umati mkubwa...
View ArticleShamrashamra za Miaka 50 Maonesho ya Bidhaa za Wajasiriamali Zanzibar.
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha Tanzania Saada Mkuya, akiangalia Kitabu cha Hadithi kilichotungwa na Mzee Haji Gora, wakati wa kuzinduwa maonesho ya Wajasiriamali Wanawake katika viwanja vya michezani...
View ArticleMakamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Iddi azungumza na Wadau Waliochangia...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Baadhi ya wafanyabiashara na wawekezaji waliojitolea kusaidia kuchangia sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia Nusu Karne hapo...
View ArticleMambo ya Habari Hayooo...
Wadau wakipata habari kupitia vichwa vya habari kupitia magazeti mbalimbali katika moja ya kituo cha kuuzia magazeti darajani, upatikanaji wa habari kupitia katika vianzio mbalimbali kama...
View ArticleMdau mambo ya Matunda hayoo
Mdau mambo ya msimu wa matunda hayo inabidi tutumie kabla ya kuambia na daktari kupata matunda wakati ukiwa na matatizo ya kiafya.Wadau tutumie matumizi ya matunda kujenga Afya zetu kazi kwenu.
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal, amjulia hali mzee Ali Machano Muasisi wa ASP Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Ali Machano (122) mmoja kati ya Waasisi wa ASP wakati alipomtembelea kumjulia hali kijijini...
View ArticleUVCCM wampongeza JK kutimua mawaziri
Na Bashir NkoromoUMOJA wa Vijana wa CCM, Kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, umempongeza Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Jakaya Kikwete kwa kuwavua uongozi mawaziri wanne mwishoni mwa wiki.Mawaziri...
View Article‘Wasomi, vyombo vya habari wanaharibu kiswahili’
Na Mwashamba JumaWAKATI Zanzibar inaadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, lugha ya kiswahili imezidi kuimarika na kukua kutokana na juhudi zinazochukuliwa na sekali ya kuieneza lugha hiyo.Katibu...
View ArticleZATO na ZATI Wakutana na Kamishna wa Polisi Zanzibar
KAMISHNA wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame, akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya ZATI na ZATO, walipofika Makao Makuu ya Polisi Kilimani kujitambulisha kwake na kufanya mazungumzo kuhusiana na...
View ArticleRC Arusha aapa kumshughulikia Mkurugenzi wa jiji
Na Joseph Ngilisho, ArushaMKUU wa Mkoa wa Arusha, Nd. Magesa Mulongo ameapa kumchukulia hatua kali Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Sipora Liana na amempa siku sita amwombe radhi,yeye pamoja na Mkuu wa...
View Article