Dk Shein afungua Skuli ya Sekondari ya Chasasa , Wete Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,katika...
View ArticleZanzibar iige mfano wa Bunge la Muungano
Na Salim Said Salim WAKATI nilipokuwa Bagamoyo wiki iliyopita katika kikao maalumu cha Jukwaa la Wahariri, ndipo nchi hii ilipopata mtikisiko mkubwa wa kisiasa kwa baadhi ya mawaziri wa Serikali ya...
View ArticleDk Bilal azuru familia ya Sheikh Suleiman Amour, Jendele
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiifariji familia ya marehemu Sheikh Suleiman Amour (82) aliyefariki Dunia hivi karibuni wakati alipofika nyumbani...
View ArticleAskofu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar Michael Hafidh Akiongoza Ibada ya...
Askofo wa Anglikana Zanzibar Askofu Michael Hafidh, akiongoza Ibada ya Krismax, kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo, iliofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Mkunazini Zanzibar na kuhudhuriwa na...
View ArticleMjengo wa PBZ Chake Chake Pemba.
Moja ya manifaa ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kuwasogezea karibu Wananchi huduma mbalimbali za Maendeleo na huduma za kijamii, moja ya huduma hizo ni huduma za kebenki zinapatikana kwa urahisi kwa...
View ArticleMandhari ya Pemba
Mandhari ya eneo la Kisiwa cha Pemba kwa muonekano katika eneo la Mkoani kama linavuoonekana pichani
View ArticleFather Cosmas Shayo Akiongoza Ibada ya Krismax.
Father Cosmas Shayo akiongoza Ibada ya Krismax kuadhimisha sherehe za kuzaliwa kwa Yesu, Ibada iliofanyika katika Kanisa la Wakatoliki Shangani Zanzibar. wakijumuika na Wakristo wote duniani kwa Ibada...
View ArticleTahadhari ya Hali ya Hewa Iliotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Na Mwandishi WetuMAMLAKA ya hali ya Hewa Tanzania, (TMA), imetowa tahadhari kwa wananchi kuacha kuyatumia maeneo ya ukanda wa pwani, huku Watanzania wakiungana na na wenzao duniani kusherekea sikukuu...
View ArticleBenki ya FBME Yakabidhi msaada wa kwa Watoto Yatima Mazizini Zenj.
Mkuu wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Saada Abubakar akitowa shurani kwa Uongozi wa Benki ya FBME baada ya kukabidhi zawadi kwa Watoto wa Mazizini kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya...
View ArticleSerikali imedhamiria kufufua vuguvugu la michezo nchini
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akipokea vifaa mbali mbali vya michezo kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Hassan and Sons kwa niaba ya wafanyabiashara wenzake Mohd Raza...
View ArticleNyota Njema Champion wakiwa katika shughuli za usafi wa mazingira Kundemba
Vijana wa Nyota njema wakiendelea na usafiHatari ya kujidunga na kutupa ovyo sindano za wateja Kama unawakumbuka Vijana wadogo mtaa wa Kundemba uliopo Wilaya ya Mjini Unguja ambao ni miongoni mwa mitaa...
View ArticleUjumbe wa Ijumaa
( حق المسلم على المسلم ست : إذا لقيته فسلم عليه ، و إذا دعاك فأجبه ، و إذا استنصحك فانصح له ، و إذا عطس فحمد الله فشمته ، و إذا مرض فعُده ، و إذا مات فاتبعه ) .Kutoka kwa Abu Hurayrah, Allaah Amuwie...
View ArticleRasimu ya Mahakama ya Kadhi Zanzibar yakamilika
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rasimu ya Mahakama ya Kadhi imekamilika na inatazamiwa kuwasilishwa katika ngazi za makatibu wakuu kabla ya kufikishwa kwenye Baraza la Mapinduzi.Waziri wa...
View ArticleNahodha: 'Mimi ni mtetezi wa suala la mafuta na gesi liondolewe kwenye Muungano'
Waziri Mstaafu wa Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa, Mhe Shamsi Vuai Nahodha alipokuwa akizungumza na WanaCCM kwenye jengo la Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Amani jana. Mwakilishi wa jimbo...
View ArticleNahodha: Sitavunjika moyo kwa yaliyonikuta
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha amesema licha ya kuvuliwa uwaziri ataendelea kuwa kiongozi wa kisiasa na kukitumikia chama chake na wananchi bila ya kuvunjika...
View ArticleWazee wa Kimasai wataka washirikishwe vita dhidi ya ukeketaji
Na Amina Omari, Kilindi WAZEE wa kimila wa kabila la kimasai, wameitaka serikali kuwashirikisha katika vita dhidi ya ukeketaji wasichana na ndoa za umri mdogo.Ushauri huo umetolewa na kiongozi wa...
View Article