JK ala krismasi na yatima
Na Kiza Sungura, MAELEZORAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa kilo 1,200 za mchele, lita 220 za mafuta na mbuzi 25 kama zawadi yake ya krismasi kwa makundi...
View ArticleMajambazi yapora maelfu ya dola Imara Consultant
Na Khamis AmaniWATU wasiojulikana wamevamia ofisi za kampuni ya ushauri ya a Imara Consultant kuiba kasha la kuhidhia fedha ndani yake mkiwa na mamilioni ya shilingi na fedha za kigeni.Watu hao...
View ArticleUtata waukumba Uchaguzi ZATUC
Na Khamisuu AbdallahMKUTANO mkuu wa tatu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC), uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita umeshindwa kuwapata viongozi wanne wa kitaifa, kutokana na...
View ArticleWadau wa utalii, polisi kushirikiana kudhibiti uhalifu
Na Mandishi Wetu USHIRIKIANO wa pamoja unahitajika baina ya jeshi la Polisi Zanzibar na wadau wa utalii ili kukomesha vitendo vya uhalifu dhidi ya watalii.Akizungumza na viongozi wa Jumuiya ya...
View ArticleKombe la Makocha la Mapinduzi kati ya PBZ na Wazee Veterani.
Beki wa timu ya Wazee Veterani Khamis Sufiani, akizuia mpira na huku mshambuliaji wa timu ya PBZ Ali Hamad, katika mchezo wa Kombe la Makocha. Mchezaji wa timu ya PBZ na mchezaji wa timu ya Wazee...
View ArticleBei za Mtee hizoo
Mdau mambo ya bei za mtee Zenj hizo zikiwa katika moja ya duka la vyakula katika marikiti kuu ya darajani Unguja Mdau ukitaka mambo ya mtee ndiyo hiyo
View ArticleHarakati za Kila Siku Chakechake.
Wadau wa mji wa Chakechake Pemba wakiwa katika harakati za mchana kutafuta mahitaji yao katika mji huo, ni maarifuu kwa wageni wanaotembelea Pemba hufika katika mjii huu kwa mahitaji yaomkutokana na...
View ArticleShamrashamra za miaka 50 ya Mapinduzi : Uzinduzi wa kituo cha umeme Zoni ya...
Mheshimiwa Rashid Seif Suleiman akitoa hotuba yake katika uzinduzi wa kituo cha umeme Cha Zoni ya Kaskazini. Wasoma utenzi, Asha Haji kulia na Mwajuma wakighani katika ufunguzi wa kituo cha umeme...
View ArticleUshauri: Baada ya Benki ya Kiislamu, kuanzishwe Bima ya kiislamu
Dk Mohammed Hafidh Khalfan mmoja wa wanabodi wa PBZ alipokuwa akitoa nasaha zake wakati wa ufunguzi wa makao makuu ya Benki ya Kiislamu, Mpirani. I. Shukran a. Kwa Allah. b. Mgeni rasmi...
View ArticleHawawataki Wapemba, wanataka karafuu zao
Na Salim Said Salim UPO usemi maarufu wa kiswahili tokea dahari na enzi unaotumika sana Zanzibar usemao; “Baniani mbaya, kiatu chake dawa”. Usemi huu ulitokana na hali iliyokuwapo hapo zamani ya watu...
View ArticleTamasha la Biashara kuanzishwa
Naibu Mkurugenzi Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akimkaribisha Waziri wa Wizara hiyo Nassor Ahmed Mazrui katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika Chuo cha Maendeleo ya...
View ArticleDk.Shein, aongoza Matembezi ya Bonanza la Vikundi vya mazoezi ya Viungo
Kikundi cha Brassband cha Mafunzo kikiwa mbele ya Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya Viungo,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed...
View ArticleDk Shein : Tuongeze kasi, bidii na ushirikiano kufikia malengo
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 31 Disemba, 2013TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa...
View ArticleDk Shein: Tujenge na kuuendeleza utamaduni wa kufanya mazoezi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo katika Bonanza la 5,Vikundi vya mazoezi ya Viungo,lililofanyika...
View ArticleWachungaji wamuombea Rais Mstaafu Dkt. Salmin Amour
Mratibu wa Dua Maalum ya kuiombea Zanzibar kwenye mkesha wa mwaka mpya Allen Mbaga kutoka kanisa la Tanzania fellowship of churches (TFC) aliesimama kulia akiwatambulisha wachungaji waliofika nyumbani...
View ArticleMaandalizi ya maonyesho ya miaka 50 ya mapinduzi yakamilika
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia matayarisho ya mwisho ya maonyesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar hapo uwanja wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar...
View ArticleMchezo wa Ufunguzi Kombe la Mapinduzi Simba na Leopard.Simba Inaongoza kwa...
Kocha wa timu ya Taifa ya Italia akiwapungua mikono Mashabiki wa Mchezo wa Mpira katika mchezo wa Ufunguzi uliozikutanisha timu za Simba na Leopard. Vikosi vya timu za Simba na...
View ArticleMhe. Masauni Afungua Mkutano wa Baraza la Wazazi -Amani.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM. Mhe. Hamad Yussuf Masauni, akifungua mkutano wa Baraza la Wazazi Wilaya ya Amani Unguja, akihutubia katika ufunguzi huo uliofanyika...
View Article