Naibu Waziri Mhe. Khamis Hamza Aanika Mikakati ya Kukabiliana na Mabadiliko...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali imechukua hatua mbalimbali ikiwemo kutekeleza miradi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya...
View ArticleBalozi wa China azungumza na wanahabari Zanzibar
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Khatibu Hassan akitoa hotuba ya makaribisho katika mkutano wa Balozi wa China Zhang Zhi Sheng na Vyombo vya Habari mbalimbali kuelezea Uchaguzi wa Chama...
View ArticleRais Dk Hussein Mwinyi afungua kituo cha TEHAMA Bwefum Wilaya ya Magharibi...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum kwa pamoja na Mawaziri wa SMZ na SMT (kulia kwa Rais) Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
View ArticleRais Dk.Hussein Ali Mwinyi afungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata Nafaka,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli...
View ArticleKizimkazi Mkunguni wapongezwa kwa jitihada za kujitafutia maendeleo
MKUU wa Wilaya ya Kusini Rajab Yussuf Mkasaba amewapongeza wananchi wa kijiji cha Kizimkazi Mkunguni kwa jitihada zao za kujitafutia maendeleo na kukuza kipato chao kupitia sekta ya uvuvi. Mkuu huyo...
View ArticleMhe Hemed akutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Na Abdulrahim Khamis , OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wa Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla amemtaka Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutangaza fursa zilizopo Nchini...
View ArticleBalozi Adadi Rajab Awataka Wanafunzi wa Shule ya Muheza Muskim Kusoma kwa Bidii
KAMISHNA wa Tume ya Utumishi wa Umma nchini Balozi Adadi Rajab akizungumza wakati wa maafali ya shule ya Sekondari Muheza Muslim.Na Oscar Assenga,MUHEZAKAMISHNA wa Tume ya Utumishi wa Umma nchini...
View ArticleWananchi wa Kijiji cha Kizimkazi Mkunguni Wapongezwa kwa Jitihada Zao Kupitia...
MKUU wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Rajab Yussuf Mkasaba amewapongeza wananchi wa kijiji cha Kizimkazi Mkunguni kwa jitihada zao za kujitafutia maendeleo na kukuza kipato chao kupitia sekta ya...
View ArticleBenki ya CRDB Kuanzisha Programu ya Uwezeshaji kwa Wajasiriamali Vijana na...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kuhusu huduma za kidijitali zinazotolewa na Benki ya CRDB kutoka kwa Meneja wa Tawi la Benki hiyo...
View ArticleUmoja wa Ulaya Waipatia Tanzania Msaada wa Shilingi Bilioni 380
Mkutano ukiendelea, ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Kamishna wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Kamisheni ya Ulaya Bi. Jutta Urpilainen,...
View ArticleTANZANA-MALAWI WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA USHIRIKIANO
Meza kuu wakifuatilia Mkutano wa Tano (5) wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Malawi katika ngazi ya Maafisa Waandamizi uliokuwa ukiendelea katika ukumbi wa Mikutano wa...
View ArticleKufanyika kwa Vikao vya Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi ya Taifa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwataarifu wanachama wake na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 28 Oktoba, 2022 Kamati...
View ArticleKOREA YAIPATIA TANZANIA MKOPO NAFUU - MAJALIWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI
Tanzania na Korea leo Oktoba 27, 2022 zimetia saini mikataba miwili ambapo Korea itaipatia Tanzania mkopo nafuu wa Sh. Bilioni 310 kupitia Benki ya Exim ya Korea. Mikataba hiyo inahusu awamu ya pili...
View ArticleNAIBU WAZIRI MERYPRICA MAHUNDI AONYA CHEPUSHAJI MAJI
Naibu Waziri wa Maji Meryprisca Mahundi akizungumza kwenye kikao baina ya Kamati ya Mawaziri Nane wa Wizara za Kisekta inayoshughulikia migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975 na wananchi wa...
View ArticleDeveloper unveils plans for Africa’s first hybrid timber tower in Zanzibar
The 96m tower is planned for Fumba Town, the location of the “Silicon Zanzibar” initiative to attract tech companies to the fast growing island (Courtesy of OMT)Developer CPS Zanzibar this month...
View ArticleKIST yakaribisha wanafunzi wapya
Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST), Dk. Mahmoud Abdulwahab akizungumza na Wanafunzi wapya waliojiunga na Taasisi ya Karume katika wiki ya kuwakaribisha (Orientation...
View ArticleDk Hussein Mwinyi ashiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa Chamwino, Dodoma
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Adalla Juma Sadala...
View ArticleMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 28...
View ArticleKamati Kuu CCM yampongeza Rais Samia
*Ni kuhusu utayari wake wa kuimarisha demokrasia, kikosi kazi chatajwa kuwa kielelezo*Pia yampongeza Rais Dk. Hussein Mwinyi kwa kuendelea kuimarisha uhusiano wa kisiasa Z'barNa MWANDISHI WETUKAMATI...
View ArticleMhe Othman atembelea Wodi ya wagonjwa wa Surua hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto), akipokea maelezo kuhusu wagonjwa wa Surua kutoka kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya watoto Dokta Zubeida Mohammed...
View Article