Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 36129 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Nchi mbali mbali za...

 Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Ndg Raya Issa Msellem Akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Nchi mbali mbali za Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha GBT Yateketeza Mashine Haramu 300 za Michezo...

Mkurugenzi Mkuu wa GBT Bw. James Mbalwe (kulia) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) sehemu ya shehena ya mashine haramu za kuendeshea michezo ya kubahatisha (Slot Machines) zipatazo 300,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Kampuni ya...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Amekutana...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio nchini Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul.Baadhi ya Watanzania waishio nchini Korea wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

View Article

Masheha wa Wilaya ya Kusini kuzidi kutoa elimu kwa wananchi wao juu ya...

Na.Mwandishi Wetu Kusini Unguja. MKUU wa Wilaya ya Kusini Mhe.Rajab Yussuf Mkasaba amewahimiza Masheha wa Wilaya ya Kusini kuzidi kutoa elimu kwa wananchi wao juu ya kufuata Sheria na misingi ya Haki...

View Article


Waziri Gwajima Awatwika Wazee Jukumu la Malezi

Na WMJJWM-ArushaWaziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amewataka Wanaume wazee  kuwaandaa na kuwalea vijana kwa ajili ya  maisha ya uzeeni.Waziri Dkt....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TSAP Yaibuka na Tafiti Zitakazoboresha Sekta za Mifugo na Uvuvi Tanzania...

Afisa Mauzo kutoka kampuni ya Pembejeo za Mifugo ya "Afrifarm" Bw. Emanuel Senge (kushoto) akimuonesha Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. David Lyamongi (kulia) chakula cha Mifugo kinachouzwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yakabidhi Hati za Kimila Mkalama Kupitia Mradi wa LDFS

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkalama mkoani Singida Mhe. James Mkwega akikabidhi hati ya kwa mmoja wa wanakijiji cha Mpambala wilayani kupitia Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza...

View Article


MAKAMU WA PII AKAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MATOKEO YA SENSA DODOMA

Na.Abdulrahim Khamis.OMPRWananchi wa Mkoa wa Dodoma na Mikoa Jirani wametakiwa kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Matokeo ya Awali ya Sensa ya Watu na Makazi hafla inayotarajiwa kufanyika Oktoba 31...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tangazo la ZECO kuzimwa umeme Pemba leo

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jiji la Tanga Lamwaga Mikopo yenye Thamani ya Zaidi ya Shilingi Bilioni 2

Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mhe. Abdulrahman Shiloo akikabidhi hundi kwa moja ya vikundi vya wakina mama wajasiriamali Jijini Tanga Na Oscar Assenga,TANGA.HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imefanikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na Malawi Kushirikiana katika Masuala ya Ulinzi na Usalama

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Waziri wa Sheria wa nchini Malawi Mhe. Titus Mvalo wakisaini Hati za Makubaliano kwenye Mkutano wa Tano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Kufanya Maboresho Makubwa ya Mfumo wa Ununuzi

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Hamad Hassan Chande (Mb) akiwataka wataalamu wa maboresho makubwa ya Mfumo wa Ununuzi Serikalini, kuhakikisha wanamaliza kazi kwa wakati, alipofanya ziara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Kiwanja...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa upande wa Tanzania Dkt. Patricia Leverley kuashiria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tani 30 za tende iliyoharibika zateketezwa

 Hivi karibuni Bodi ya Dawa na Chakula Zanzibar  (ZFDA)  Imefanikiwa kuteketeza jumla ya tani 30 za  tende ilioharibika kutokana  na uhifadhi mbaya na kupelekea kutokua salama  Kwa matumizi ya...

View Article


CHAVIZA yafanya uchaguzi wa viongozi

 Na Rahima Mohamed   Maelezo  31/10/2022 Mkurugenzi wa Baraza la watu wenye Ulemavu Zanzibar, Ussi Khamis Debe  amewataka viongozi wa chama Cha Viziwi, kuhakikisha wanatoa mafunzo ya lugha ya alama kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanesco yataja changamoto za upungufu wa umeme nchini

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya Ufafanuzi ya Jeshi la Polisi

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB Yazindua Programu ya Uwezeshaji kwa Vijana na Wanawake...

 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 50 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM Iringa Vijijini : Iringa Sio Soko la Wafanyakazi wa Ndani

Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Iringa Elia Kidavile akitoa kiasi cha shilingi laki mbili kwaajili ya kukarabati sakafu za shule ya msingi Mlolo wakati wa mahafali ya 59 toka kuanzishwa kwa shule...

View Article
Browsing all 36129 articles
Browse latest View live