Uzinnduzi wa Tamasha la Vijana - Youth Development Carrier Fair in Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akisalimiana na Viongozi wakiwemo wawekezaji Kampuni na wadau wa maendeleo wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya...
View ArticleDk Shein azindua maonyesho ya Fursa za ajira na uzalishaji kwa vijana
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 22 Novemba,2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA...
View ArticleMkutano wa kuelimisha dhana ya Bima inayofuata misingi ya Sheria ya kiislamu...
MJUMBE wa kamati ya sharia kutoka bima sheikh Abdalla Talib akitoa ufafanuzi juu ya dhana ya bima inayofuata misingi na sharia za kiislamu, kwenye mkutano wa siku moja uliandaliwa na shirika la bima...
View ArticleTambueni juhudi zetu kuzuia ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi - Tanzania
Na Mwandishi Maalum, New YorkJamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesisitiza haja na umuhimu wa Jumuiya ya Kimataifa ya kutambua mchango unaofanywa na serikali wa kukabiliana na vitendo vya kikatili...
View ArticleMiche ya Karafuu yakosa soko
BAADHI ya wanavikundi kisiwani Pemba, kuhamasika kuatika miche ya mikarafuu kwa wingi, miche hiyo imekuwa ikikosa soko kama ilivyo kwa kikundi cha Bobo sio dili cha Bogoa Mkanyageni Wilaya ya...
View ArticleMafunzo ya Ujasiri amali wa mazao yafanyika Pemba
Wajasiria Mali kutoka Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa Makini Mwalimu wa Ujasiri amali akiwapatia maelezo juu ya usindikaji wa Mazao mbali mbaliWajasiri amali mbali mbali Kisiwani Pemba, wakipatiwa...
View ArticleUrafiki wa China tuuangalie vema
Na Salim Said Salim KATIKA siku za karibuni nimekuwa ninapata wasi wasi ninaposikia au kuona nchi yetu inawafungulia milango Wachina kama ndugu na marafiki tunaotarajia kuchangia maendeleo ya nchi...
View ArticleUbalozi wa Tanzania nchini China watahadharisha na mawakala wababaishaji
Na Othman Khamis Ame , Beijing China Mashirika Taasisi za Umma na zile binafsi pamoja na wazazi wanaowadhamini kimasomo wafanyakazi na watoto wao Nchini Jamhuri ya Watu wa China wanapaswa kuwasiliana...
View ArticleUbalozi wa Tanzania nchini China waandaa Tafrija maalum kwa ujumbe wa Zanzibar
Ujumbe wa Zanzibar uliokuwa nchini China kwa ziara ya Kiserikali ukipata mlo kwenye Tafrija maalum waliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania Nchini China. Wa kwanza kutoka kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa...
View ArticleTumsaidie ndugu yetu Suleiman Othman
Kijana Suleiman Othuman akiwa amelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja wodi ya chini upande wa dirisha la dawa kitanda no 12. Msaada unahitajika kwa kijana Suleiman Othman Ally mwenye umri wa miaka 19, mkaazi...
View ArticleTRA (Pemba) yakabidhi cheti kwa Zanzibar leo
MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali ofisi ya Pemba, linalochapisha magazeti ya Zanzibar leo, Zanzibar leo Jumapili na Zaspoti, Bakari Mussa Juma, akipokea Cheti cha Uwandishi wa habari za mamlaka...
View ArticleKauli ya Prof Lipumba juu ya Ripoti CAG/IPTL
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, 23 Novemba 2014 Katika Kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 na 2005 nilitumia muda mwingi kuelezea rushwa inayohusiana na mkataba wa TANESCO na IPTL. Kwa bahati mbaya...
View ArticleMchezo wa Kijipima Guvu Timu ya Taifa ya Zanzibar na Timu ya Vikosi vya SMZ...
Beki wa timu ya Kombaini ya Vikosi vya SMZ,akimiliki mpira huku mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar, akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan .Timu ya Taifa...
View ArticleMaalim Seif afungua mkutano wa Magereza Kanda ya Afrika Mashariki
Na Khamis Haji, OMKRMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ni jukumu la taasisi zinazosimamia Magereza katika eneo la Afrika Mashiriki kuweka mazingira bora yatakayoweza...
View ArticleLigi Daraja la Pili Taifa Wilaya ya Mjini Kundemba na Sayari Fc. Amaan
Beki wa timu ya Satari Fc akikimbilia mpira huku mchezaji wa timu ya Kundemba akijiandaa kuchukua mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Daraja la Pili Taifa Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Kundema...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt Bilal Afungua Mkutano wa Kitaifa wa Taasisi za Fedha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji...
View ArticleDK. Shein Awahakikishia Wananchi :Tunashughulikia Suala la Ardhi.
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 24 Novemba, 2014TAARIFA KWA VYOMBOVYA...
View ArticleMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, Azungumza na Mabalozi wa Wilaya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika katika viwanja vya Tawi la Chuo cha...
View Article